neema prosper
Senior Member
- Nov 8, 2010
- 146
- 154
Angalia website ya NACTE omba diplonma ya ualimu ada nadhani laki mbili kwa mwaka ukimaliza utapata kazi hata serekalini then tumia mshahara kufanya mitihani ya form six then utajaenda kusomea UDACTARI WAKO.
AU nrenda wizara ya afya omba MA yaani medical assistant au narsinng au mahabara au ufamasia diploma utajajiendeleza huko mbele ya safari
.
AU nrenda wizara ya afya omba MA yaani medical assistant au narsinng au mahabara au ufamasia diploma utajajiendeleza huko mbele ya safari
.