neema prosper
Senior Member
- Nov 8, 2010
- 146
- 154
pole sana ndugu, kwaharaka nashndwa kufkri ni kitu gani unaweza fanya na hcho kiasi cha laki 3 kwa miezi takribani miwili ili upate 1200000, naomba wadau waje wakusaidie, ila usikate tamaa. Naamin kamwe ndoto yako haiwez kupotea, inaweza kuchelewa tu, one day yes!
Pole sana ndugu. Watanzania, japokuwa si wote hatupendi kuchangia vitu kama hivi. Lakini kwenye mambo ya starehe, tuko mbele.
Ndugu yetu kaomba ushauri tu, lakini watu tunakosa utu. Maandiko yanasema..."Maskini na afurahi kwa kuwa ametukuzwa, na tajiri kwa kuwa ameshushwa maana anaweza kutoweka muda wowote."
Nije kwenye point. Nilisoma Muhas ila kwa upande wa Bachelor. Nafikiri pia serikali inawafadhili wanafunzi wa diploma hasa wenye matatizo fulani (mfano: walemavu, yatima etc)..jaribu kufuatilia utapata exemption. Kuna mdada nilisoma nae primary & alifiwa na baba yake udogoni, alisoma hapo. Nilipomuuliza alisema alikuwa analipiwa na serikali.
So, usikate tamaa kwa sababu Mungu anasema, "Yeye ni baba wa yatima..." Naamini atagusa mioyo ya watu ili awatumie kukusaidia. All the best & stay blessed.
Acha kumpotosha jamaa.Nitafute nikupe mikeka uwe una beti utapata zaidi ya iyo ela nje nje
Solution ni kubet tu
Ni kweli imekaa kibahati zaidi, kuna jamaa alitoa ushuuda humu alikuwa anasoma ud, zilibaki siku 3 deadline ya kulipa ada na mfukoni alikuwa na elfu 10 tu, akajitoa mhanga akabetia yote, mkeka ulitoa mil.2Mmh hapana hii mbinu ya kubeti ni mbaya na hatari, ni bahati nasibu ya hatari sana, wasi wasi wangu huenda hata hiyo laki tatu akaipoteza, pesa ikiliwa usishangae mtu akataka kujiyonga.
Anza kubet ila uwe na roho ngumu
Solution ni kubet tu
Mmmh!! Wenye majanga tuko wengi~ kaka uko vizur paffomance yako nimeiipenda~ sasa cha kufanya tembelea media na dhani utashauriwa ukafungua account ~ benki kama ss ambae tuko mbali tukusaidie~ hata mm nahitaji kwenda college nimemaliza kidato cha NNE mwaka 2012, nilipata div 4 points 26 , Tatizo kubwa linalo tukumba ni uwezo2, lakin mwaka Jana mwez wa tatu iv nilipata kazi ~ usambazaji wa Lain za mtandao wa tigo~ namshuru mingu saiv naweza pata Milion 1 iv binafs, ombA mungu atakusaidia ndg
Nifahamishe hapo kwenye media.
Waone wazee wa ku bet wakufundishe jinsi ya kutengenenza pesa!