Nina uhakika kila mmoja wetu hapa akiihoji na kuichunguza dini yake kwa kutumia akili yake binafsi mtambuka hakuna ataebaki kuwa mhanga wa doctrines

Dini ni mavuzi ya fikra, yanatakiwa kunyolewa akilini mwetu
 
Mitume katika uislamu walikua wanakuja kurekebisha walimwengu waliokengeuka. So mtume alikuja kusahihisha panapokosewa.
Ukitumia kigezo cha muda kuna watu walikuwepo kabla kuzaliwa yesu na walikua na dini zao, bas tuseme hadithi za kiebrania zinazoitwa za kikristo pia ni za kukopi kwa dini iliyokuwepo kabla yake.
Na unaposema ni HADITHI unamaanisha nn hasa?
Uislam ulianzishwa miaka 600 baada ya ukristo na kukopi Hadith za kiebrania na kiyahudi
 
Acha uongo ndugu yangu.

Unayosema ni matokeo ya kukalilishwa wala sio uhakika.
 
Mkuu ivan, SOMA UZI UELEWE.

MUNGU SIO DINI NA DINI SIO MUNGU.

DINI NDIO INAYOKUFANYA KUWA MBALI NA MUNGU

KWA MESEJI NILIOKUTUMIA NIONESHE SEHEMU NILIKUAMBIA UHAMIE DINI FLANI

Ila nilikufundisha namna ya kumfikia.

SOMA UZI UELEWE LABDA TU UMEAMUA KUNISHUSHUA NDUGU YANGU
 
Ukichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.

Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
watu hawajapinga kuhusu uwepo wa supernatural power bali dini.
elewa dini au dhehebu sio Mungu mwenyewe
 
Kuna watu wanashikilia utafikiri wameshaona hio pepo ambayo hawaijui halafu hawayaishi hayo wabayotuambia
Kabisa wanaishi illusions

Wanapoteza muda na energy

Navyozidi kuwa mtu mzima naelewa kwa nn baba alikuwaga anachekaga watu wanaokimbilia makongamano kuombea na kupewa ya baraka, he was right.
 
Ndio dini ya kweli

Ahsante sana.
Kuwa mkweli ndo dini, Unachokichunguza ni kitu kinaitwa ukweli/truth, hakuna dini iliyokua juu zaidi ya ukweli/truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…