Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ni mavuzi ya fikra, yanatakiwa kunyolewa akilini mwetuSisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao.
Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako inazipa red flags (alerts) kwa maana ni somewhat controversial?
Unaweza kuta kweli njia wanayooiongelea ni sahihi ila wanaitumia kama technique ya kukufanya kuwa sehemu ya genge lao.
Nini dhumuni la genge lao, kumiliki dunia? Kuwatumia watu kuwa jeshi kupigania chuki zao dhidi ya kundi lingine?
Kwanini wawe tena tofauti, kama ni watoto wa muumbaji mmoja kwa nini wachukiane.
Sisi ni product ya itikadi zao, wengine walikuwa sociopaths, wengine psychopath , wengine walikuwa wapenda vita(war mongers), wengine walikuwa ni taifa katili,
Ila leo ndio tumeamua kuwa ndio wawe mashujaa wetu huku tukijietengenezea hofu kuwa tuki wa-criticize tutalaanika.
THINK, THINK AGAIN.
Uislam ulianzishwa miaka 600 baada ya ukristo na kukopi Hadith za kiebrania na kiyahudi
Acha uongo ndugu yangu.Mitume katika uislamu walikua wanakuja kurekebisha walimwengu waliokengeuka. So mtume alikuja kusahihisha panapokosewa.
Ukitumia kigezo cha muda kuna watu walikuwepo kabla kuzaliwa yesu na walikua na dini zao, bas tuseme hadithi za kiebrania zinazoitwa za kikristo pia ni za kukopi kwa dini iliyokuwepo kabla yake.
Na unaposema ni HADITHI unamaanisha nn hasa?
Wewe ndio una shida,,je umeshatusikia tukilalamika?Sina shida, dini zenu ndio zina shida
Mkuu ivan, SOMA UZI UELEWE.Kwahiyo mkuu Eli Cohen ulikua unanidanganya nilipokufuata chamber na kukuomba ushauri wa mambo ya kiimani? Na ukanishauri mambo ambayo nikaanza kuya practise na nimeanza kuona matokea yake??
Imefikia hatua i can even hear vividly the Holly spirit alerting me about some stuffs???
UMekengeuka wapi mkuu wangu?
View attachment 3089701
Sawa mkuu, bas hapo nimekuelewa vyema. Thanks by the way, your advice helped me alot. Am now doing greatMkuu ivan, SOMA UZI UELEWE.
MUNGU SIO DINI NA DINI SIO MUNGU.
DINI NDIO INAYOKUFANYA KUWA MBALI NA MUNGU
KWA MESEJI NILIOKUTUMIA NIONESHE SEHEMU NILIKUAMBIA UHAMIE DINI FLANI
watu hawajapinga kuhusu uwepo wa supernatural power bali dini.Ukichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.
Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Kuna watu wanashikilia utafikiri wameshaona hio pepo ambayo hawaijui halafu hawayaishi hayo wabayotuambiaTatizo watu wanapenda conclusion
Alafu watu wengi wanajua Mungu ni dini
Dini sio Mungu.
Kabisa wanaishi illusionsKuna watu wanashikilia utafikiri wameshaona hio pepo ambayo hawaijui halafu hawayaishi hayo wabayotuambia
Kuwa mkweli ndo dini,Ndio dini ya kweli
Ahsante sana.
Unachokichunguza ni kitu kinaitwa ukweli/truth, hakuna dini iliyokua juu zaidi ya ukweli/truthSisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao.