Naona mmegeuka kuwa wasemaji wa Chadema. Poleni sanaChadema is "technically dead"..siku za Mbowe kuvurumishiwa matusi zinahesabika.Tundu hawezi kuongea sababu ataambiwa mbona na wewe uliomba kuteta na Rais Samia huko ughaibuni?
Vipi umeamkaje?Kwa Hili tukio, score card ya mama Ina pointi nyingi, Chadema walitarajia Mbowe akitoka atakuja na confrontational politics zaidi, wanashangaa Mbowe kaenda kupiga goti kwa mama.
Akina mdude na martin Maranja Masese wanavuja damu moyoni, wamekesha twitta halafu waliyemkeshea kaamkia kwa mama kula ugali
Kwa furaha sana, Kila goti linapigwa Sasa, aliyejifanya Mbabe Jana kaenda kupiga goti na kuahidi kutii mamlakaVipi umeamkaje?
Chadema hakuna kituKweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
Hakuna mtu amesamehewa. Serikali imekwepa kudhalilishwa na kina kibatala kwenye utetezi. Period!Haki baada ya mateso, unaweza samehe lakini si rahisi kusahau, upendo wa wanachadema hautabadiri tabia za mtu, siku zote wapenda haki hutamani amani hivyo wanaweza mpenda sasa nawakataka katiba mpya na tume huru.je' atakubari kwa maslahi ya watanzania?
Mbowe alituma viongozi wa dini kumbembereza Samia, mwenyewe Samia kakubari kumsamehe,la sivyo Mbowe angekula mvua za kitosha, Ndio Maana baada ya kuachiwa ameahaidi kufanya siasa za kistarabu Ili kumpa nafasi Samia kitawala vizuri 🤣🤣🤣inamaana tokea mwanzo walikuwa wakifanya siasa za fujoGENTAMYCINE usiwe na maneno ya kejeli, eti Rais ana Moyo wa kusamehe! Sisi tulisema Mh Mbowe siyo GAIDI, kwa hiyo amesamehewa kwa lipi ambalo DPP hakuliona? Uwe na ustaarabu angalau hata kidogo basi. Au tupe mfano ni wapi uliwahi kuona GAIDI anasamehewa?
Nasisitiza tena Mh Mbowe siyo GAIDI na hatakuwa GAIDI kuhusu uchaguzi 2025 hakuna mwana Chadema hata mmoja atakaempigia kura Samia, hata mkipiga magoti hampati Ng'ooo!
Huwa nasema kila siku shule za kata zimeharibu vijana wa kizazi hikiKweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
Labda wanachadema feki wa lumumbaKweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
Mtoa post anasema: "Kwa furaha niliyoiona kwa Wana Chadema... Swali, ina maana yeye hakufurahi? Hali ya kisiasa kwa miaka sita Tanzania ilikuwa mbaya sana, akifa wa CCM, upinzani wanasema haiwahusu , akifa wa upinzani, CCM wanasema haiwahusu. Hali hii ya hovyo haikuwa na afya kama Taifa. Wapo chawa wa CCM Kama mtoa post wangependa hali hii iendelee, na Jana hawakulala usingizini walipoona Rais Samia anamaliza hili la Mbowe japokuwa watasema Rais hahusiki na masuala ya mahakama, lakini DPP aliyetoa hiyo Nolle proseque ni mteule wa Rais.Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
TeteteteeKweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
Akili duni hizi. Busara ya kukutana na watesi wake haijaanza leo. Mandela alipotoka jela aliendelea kucheka na watesi wake, Mzee Jomo Kenyatta alipotoka jela aliendelea kucheka na watesi wake, kinachotolewa watesi ndio huteseka baadaye. Mbowe ametumia busara kukutana na mtesi wake, mtesi wake atateseka baadaye. Busara hii hutumiwa na wachache wenye akiliHuyu mama nchi ilishamshinda kitambo... haya maigizo ya kina Mbowe ni mwendelezo wa kuwadhoofisha wanaotishia kiti chake.... yaani mpaka sasa kamuunda Mbowe awe kibaraka wake... Lissu nae keshamfinyanga baada ya Nairobi na Ubelgiji ... Zitto hana meno alishatulizwa kitambo amevimbewa Zanzibar. Ndani ya chama chake kawakata Kidafu wote wenye midomo... ila ninachokiona this time Mbowe akichanga karata zate vyema kwa ile gia ya Angani anaweza kuleta mabadiliko makubwa sana ya kiuongozi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui umeandika vitu gani hata havielewiki ndio kupagawa huko au [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chadema is "technically dead"..siku za Mbowe kuvurumishiwa matusi zinahesabika.Tundu hawezi kuongea sababu ataambiwa mbona na wewe uliomba kuteta na Rais Samia huko ughaibuni?