chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kwa Hili tukio, score card ya mama Ina pointi nyingi, Chadema walitarajia Mbowe akitoka atakuja na confrontational politics zaidi, wanashangaa Mbowe kaenda kupiga goti kwa mama.
Akina mdude na martin Maranja Masese wanavuja damu moyoni, wamekesha twitta halafu waliyemkeshea kaamkia kwa mama kula ugali
Akina mdude na martin Maranja Masese wanavuja damu moyoni, wamekesha twitta halafu waliyemkeshea kaamkia kwa mama kula ugali