Nina uhakika kwa hili la 'Freeman' hivi sasa wana CHADEMA wote wanampenda 'Mama' na 2025 wote watampigia 'Kura' zao aendelee kuwa Rais wa Kusamehe TZ

Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.

Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.

Usiweke guarantee kwenye siasa utapata ugonjwa wa Moyo. Baada ya Lissu kukutana na Rais ubelgiji watu wakadaia ameufyata. Lakini mahakama ilipotoa maamauzi ya kesi ya kujibu Lissu alimkandia mama watu wakashangaa.
 
Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.

Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.

..tutachagua MTANGANYIKA.

..Waznz wasubiri kudra za Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom