Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Siwezi kuwa na mke wa mtu aisee, kwangu ni udhaifu mkubwa sana.yaan naona ni sawa na kuvunja na kuiba nyumbani kwa mtu.i always smell death...!!
Ukiwa na mke wa mtu utanielewa mkuu
 
Nadhan kifo tu ndo kitakutenganisha na uyo mchepuko...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kushikishwa ukuta Yan kupumuliwa kisogon...sema dogo kapenda hivyo nae hataki kuwewesekea penzi lake.Hitimisho ninyi mnatakiwa kufumaniwa mpigwe mawe Hadi mfe
 
Mkuu nakushauri fumba macho weka roho ngumu na mwambie kabisa kama akiachana na mmewe asikujue saidia iyoo ndoa isivunike naamini una nguvu ya kufanya ivyoo okoa iyo ndoa alafu Anza kumuacha taratibu
 
Hata kama umetudanganya kidogo, kisa chako kinafanana na rafiki yangu tunafanya nae kazi. Alikuwa na mahusiano na binti na yule binti kaolewa baada ya jamaa kumhakikishia kuwa hatamuoa. Walinuniana sana tu lkn baadae binti akarudi kwao kwa wazazi akaja hana hata chembe ya aibu akamwambia jamaa kuwa asipomkubalia harudi kwa mumewe jamaa akalazimika kukubali.
Kwa sasa mpk sielewi ni mke wa nani maana anaenda kwa anakaa siku tatu anarudi kwa jamaa analala na anapika.

NYIE WANAUME KUPIGIWA INAUMA SANA MUNGU ANAWAONA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…