Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Tuma nauli bebiBaby njoo dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma nauli bebiBaby njoo dodoma
Upo wap?Tuma nauli bebi
Mtwara kipenzi hahahahaUpo wap?
Heeeh!!Mtwara kipenzi hahahaha
Baby mtwara dar masaa 7 ....tu hapo inabaki safari ya domHeeeh!!
Baby mtwara huku si safar ya siku 3?
Hii iko realistic, ila kitendo cha kujua mtu anakutombea kisha ukakaa kimya, hivi mkeo wa ndoa asafiri for 16 days awe anakukatia simu tu. Hio itakuwa dalili gani? Uzezeta au roho ya kristo?
Nauli ngap lovBaby mtwara dar masaa 7 ....tu hapo inabaki safari ya dom
Mtwara kitu kama 33 hivi V.I.P [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] huko dom utajazia weweNauli ngap lov
Hakika, mie akiwa mbali na mimi tu simu zisipotimia tatu kwa siku ni timbwili. Sembuse kunikatia simu, hathubutu kufanya hilo!Labda karogwa.....
Utakuja lini sasa?Mtwara kitu kama 33 hivi V.I.P [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] huko dom utajazia wewe
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] weekend ijayo kipenziUtakuja lini sasa?
Basi nistue siku mbili kabla ya safar,[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] weekend ijayo kipenzi
OK DarlingBasi nistue siku mbili kabla ya safar,
Hakuwa akikata simu,alizima kabisa simu yake ilikuwa haipatikani hadi tumerudi. Mama kila siku alikuwa anaongea naye kwa kutumia cm yake.Hakika, mie akiwa mbali na mimi tu simu zisipotimia tatu kwa siku ni timbwili. Sembuse kunikatia simu, hathubutu kufanya hilo!
Ukiwa na mke wa mtu utanielewa mkuu
Aisee that was super wierdoHakuwa akikata simu,alizima kabisa simu yake ilikuwa haipatikani hadi tumerudi. Mama kila siku alikuwa anaongea naye kwa kutumia cm yake.
Mkuu nakushauri fumba macho weka roho ngumu na mwambie kabisa kama akiachana na mmewe asikujue saidia iyoo ndoa isivunike naamini una nguvu ya kufanya ivyoo okoa iyo ndoa alafu Anza kumuacha taratibuTatizo mnaangalia Jambo moja tu,watu mkishakuwa kwenye uhusiano wa muda mrefu kuna vitu vingi mnafanya si ngono tu. Kwenye maelezo yangu nimeeleza vizuri tu,nipo na huyu dada miaka 3 na nilikuwa naye zaidi ya miaka 2 kabla hajaolewa. Hebu jaribu kuwa reality mkuu,mtu ambaye upo naye kwenye uhusiano kwa miaka 3 siyo Jambo dogo ingawa mm sikuwa na mpango wa kumuoa.
Lkn ni wazi nimefanya naye vitu vingi,nimemsomesha chuo,nikamsaidia kupata kazi,nilimfungulia biashara na kiukweli kabisa tulikuwa tunapendana wala sifichi ktk hili. Pamoja na kwamba ni mchepuko lkn nilikuwa nampenda. Kwa sababu hata ktk yale niliyomfanyia hajaniangusha,amemudu kusimamia biashara vizuri,na anaendelea na kazi. Lkn tangu ameolewa pamoja na kuendelea naye,lkn sina Amani na uhusiano wetu nimekuwa mnyonge ktk hili. Na nimeshajaribu kuchukua hatua mara nyingi lkn ndo km hivyo inashindikana. Hapa tupo kwao kwa mama yake,na bahati nzuri nipo na member wa hapa jamvini,km atajisikia kuwapa mrejesho atawaambia ugumu wa hii issue.
Hv tunavyoongea,kwa msimamo wangu niliouonyesha demu hataki tena kurudi kwa yule mwanaume. Anasema hii ndoa itamletea mkosi,amesema me km naamua kumuacha na yy kuanzia ss hv anasubiri talaka. Nna rafiki yangu wa kike na ni member wa hapa,yy mwenyewe amejitahidi kadri awezavyo lkn dem hataki. Sisi tumetoka hapo kwa sasa,maana mwanaume kapigiwa simu mbele yetu na alichoambiwa lazima atakuwa anakuja ukweni.
Hata kama umetudanganya kidogo, kisa chako kinafanana na rafiki yangu tunafanya nae kazi. Alikuwa na mahusiano na binti na yule binti kaolewa baada ya jamaa kumhakikishia kuwa hatamuoa. Walinuniana sana tu lkn baadae binti akarudi kwao kwa wazazi akaja hana hata chembe ya aibu akamwambia jamaa kuwa asipomkubalia harudi kwa mumewe jamaa akalazimika kukubali.Mkuu sifanyi utani hapa ukweli kabisa hiii hali inanisumbua sana...kweli kabisa natamani kumuacha huyu dada,shida iliyopo kwanza ni mazoea,kumbuka ameolewa nikiwa naye. Ujue tuna mazoea yale ya ndani kabisa,masikhara upendo hata km wa kitapeli lkn ndo maisha yetu. So kuna wakati namkazia lkn anaondoka kwa mumewe anaenda kwa mama yake. Na huko mama atanisumbua balaa! Mama huyo ndo mtoto wake wa pekee! Huwa hapendi kabisa kumuona mwanaye akiwa hana furaha. Na nna heshimiana sana na mama...na ukimwambia issue ya kumuacha anakuambia bora yeye aondoke kwa mwanaume.