Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo.

Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia.

Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda mrefu,kupungua umakini wangu,kuwa mtu wa msongo wa mawazo kwa muda mrefu,kupoteza uwezo wa kufanya mapenzi na kupungua kwa mwili (kudhoofu mwili).

Nilirudi kumuona daktari akanieleza nina (Low testosterone (male hypogonadism) akanipatia dawa ya kuchoma kila mwezi ila inachosha, nimesikia ipo ya kupaka (gels) na vidonge (capsules).

Nimeipenda ya kupaka yaani Gel TRT au Cream,sasa je nitaipata wapi pale hospital hawa dawa hiyo msaada tafadhari....
Kwahiy we mwenyewe ni daktari kabisa, unapanga na dawa eti "dawa ya kupaka" kama wana sindano au vidonge? Shida kweli.
 
Sizalishi itabidi niishi hivi hivi nilivyo hapa duniani sitopata mtoto wa mbegu yangu
Kama unakula mbusus haina shida kuhusu watoto usiwaze ninachokushauri usilee mtoto wa mtu
Ila fanya wajali watoto randomly ambao wapo mazingir magumu wsio na wazazi hata mtoto wa ndugu yako usimfanye awe mwanao we msaidie tu then pita vile,
Ila kama utapata mjane basi mjali uyo mtoto wake
 
Mkuu
Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo.

Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia.

Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda mrefu,kupungua umakini wangu,kuwa mtu wa msongo wa mawazo kwa muda mrefu,kupoteza uwezo wa kufanya mapenzi na kupungua kwa mwili (kudhoofu mwili).

Nilirudi kumuona daktari akanieleza nina (Low testosterone (male hypogonadism) akanipatia dawa ya kuchoma kila mwezi ila inachosha, nimesikia ipo ya kupaka (gels) na vidonge (capsules).

Nimeipenda ya kupaka yaani Gel TRT au Cream,sasa je nitaipata wapi pale hospital hawa dawa hiyo msaada tafadhari....
Una bei gani nikuletee capsule dhl? Ninazo hapa situmii na pia naweza kukuagizia kiasi chochote unachotaka
 
Pole sana mkuu.

Ungelijua mapema ungetafutamo vitoto kwanza kisha ndiyo ukafanyiwe huo upasuaji..

Ila tumeaswa tumshukuru Mola kwa kila jambo.
Asante sana ila ndiyo hivyo imeishatokea
 
Nihilist
Nimeskia Uchungu Mkubwa sana🤦ningekufahamu before this post here wala nisingekushauri juu ya Operation uliyofanya ningekukataza..Maskin🥲🤦Ungepona through injections yaan ulipojiharibu ni pale ulipokubali Operation 🙆

But maji yashamwagika sipaswi na sina haki ya kukulaumu kwasababu najua magumu uliyopitia mpaka hapo..Pole Kiongozi usiwaze kuhusu Watoto wafute kwenye ubongo wako..Wangap wako na kid’s na hao hao watoto wanaua Wazazi wao? Huenda watoto kwako wangekua SHARI kubwa kwako kuliko BARAKA🙏

Tabasam you will be ok someday..you will be cured😊💪

Testosterone therapy is awesome..😔it will be very good when you start it..Be sure to do the injections💉💉💉they work a lot better than the creams😊 Please sindano endelea nazo although it’s somewhat crazy..ziko more powerful based on your diagnosis..But vumilia tu zinaumiza ila have faith..usidanganywe na dawa wengi watachukulia tatizo lako kama fursa be careful..am advising you in a highly manner 🙏

Do the injections every week (or even twice a week)..Everyone's dose is different so make sure your doctor is giving you the dose that works best for you

7days after your injection is when you want to do lab work.. You want your levels somewhere around 700ng/dL on day 7

The way the injections work is they peak in your body 24-48hrs after the injection and go down every hour and day after that.. Make sure they monitor your estradiol levels

Testosterone in most men is converted to estradiol and most men on testosterone will have higher estrogen levels..You want your estradiol on day 7 to be somewhere around 20-30pg/mL. If it is higher you could not notice any benefit of the testosterone or worse have bloating..water wt gain..nipple sensitivity or (rare) breast tissue development or erectile dysfunction

If estradiol is high there are prescription estrogen blockers most commonly anastrozole/arimidex the doctor can prescribe😊

Most doctors will twist you up..Fight with them if you have to.. Remember it is your health..your body😊

Look things up😊👋..Am humbly wishing you a fast recovery..This too shall pass🙏🙏🙏
 
Asante sana.

kwa mara ya kwanza nimekupata daktari (naomba nikuite hivyo). ila sindano zinachosha...yaani huwezi amini kila baada ya week 3 nachoma sindano kwa maisha yangu yote 🤧🤧🤧... at least ingekuwa baada ya miezi mitatu yaani sindano nne per year...

Asante sana
 
Back
Top Bottom