Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo.

Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia.

Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda mrefu,kupungua umakini wangu,kuwa mtu wa msongo wa mawazo kwa muda mrefu,kupoteza uwezo wa kufanya mapenzi na kupungua kwa mwili (kudhoofu mwili).

Nilirudi kumuona daktari akanieleza nina (Low testosterone (male hypogonadism) akanipatia dawa ya kuchoma kila mwezi ila inachosha, nimesikia ipo ya kupaka (gels) na vidonge (capsules).

Nimeipenda ya kupaka yaani Gel TRT au Cream,sasa je nitaipata wapi pale hospital hawa dawa hiyo msaada tafadhari....
Carlos The Jackal Herbalist Dr MziziMkavu toeni msaada kwa mdau hapa.
 
Pole sana.

Natumai utapata hapa majibu yakakayo kusaidia au kukupa meanga.

Nina swali.

Je unaweza kutuambia ni dalili gani ulianza kuzihisi kwenye korodani na mwili wako kabla hujathibitika kuwa na Cancer.
 
Pole sana.

Natumai utapata hapa majibu yakakayo kusaidia au kukupa meanga.

Nina swali.

Je unaweza kutuambia ni dalili gani ulianza kuzihisi kwenye korodani na mwili wako kabla hujathibitika kuwa na Cancer.
Yalikuwa ni maumivu kwenye korodani nikaenda kupiga video (Ultrasound) yaliyofuatia nikawaachia madaktari. hadi hivi sasa nimeamua kuwashirikisha
 
Samahani mkuu, unaweza kuyataja hayo mengine nje ya mwanaume kutoka na familia yenye furaha kuzunguka kuona maajabu ya dunia
Kwanza naamini mkeo amejua kuishi na tatizo hilo.
Watoto ikibidi adopt hata kamoja.
Kama mkeo ana upendo wa dhati na wewe mbna hiyo sio shida yakufanya msifurahie maisha mkuu?
Wapo watu na korodani zao na sex life ni mbaya lkn maisha yanasonga.
Wewe zingatia afya yako ndo muhimu.
Pia usile sile madawa ovyo ukapata shida nyingine bure.
Maisha yana mengi mazuri bana.
 
Haya maswali yanaleta maumivu kwa Muulizwaji sio vizuri..wengi wenye hizi cases hua hawazidii dk 3 na kurudia tendo round hua haiwezekani 🤦🙏

Ata ivyo starehe sio sex tu..usiwe mnyonge utapata nafuu Mkuu Nihilist
laiti ningepata dawa inayodumu mwilini kwa muda mrefu ningefurahi sana, maana mwili unachoka sana, nimedhoofu, yaani naweza kushinda ndani wiki nzima kula na kulala ila bado nikasikia uchovu wa mwili kama vile nimebeba mizigo mizito mno.
 
Pole sana. Namuomba Mwenyezi Mungu aniepushe na hali kama uliyopata pia nakuombea uzidi kuimarika.

Navyojua ukiondoa hizo Korodani mwili lazima unawili yaani uwe mnene na mwenye afya. Kwa kuwa hauna matumizi mengine makubwa ya kusababisha utumie nguvu nyingi na virutubisho vingi kuunda manii.

Hivyo basi hayo makorombwezo yote yanarudi ktk circulation ya mwili na kwenda kujenga mwili zaidi.

Tukirud ktk history wakoloni walihasi wazee wetu ili wawe na nguvu nyingi za kufanya kazi na wasitamani wake wao.

Pia tukirejea Sayansi ya ufugaji. Ng'ombeb wnahasiwa ili wanawili pia wawe na nguvu zaidi.

Sasa nataconnect na hali ya udhoofu wako bado sijapata jibu nini kinatatiza au kinafanya udhoofu. Je ni hizo hormones or kuna jambo jingine au ni matokeo ya Medications?
 
Na inakuaje mfano mtu akipata ngiri anaweza kuzalisha?
perky
Ahsante kwa swali zuri😊

I will answer you in a most shortly way🐒

Well your question needs a systematic review..by answering it I must focus in Keywords: -
-Azoospermia
-Hernia
-Hernia repair
-Inguinal hernia
-Male infertility
Yes you can impregnant a lady but unapaswa kupata matibabu mapema before it’s too late..before it didn’t reach a chronically level ⛔️ ⚠️

Inguninal hernia and fixed it with mesh and has low sperm count but several urologists have their own way of treatment😊👋
 
laiti ningepata dawa inayodumu mwilini kwa muda mrefu ningefurahi sana, maana mwili unachoka sana, nimedhoofu, yaani naweza kushinda ndani wiki nzima kula na kulala ila bado nikasikia uchovu wa mwili kama vile nimebeba mizigo mizito mno.
Nihilist
Yaan naelewa kwa zaidi ya 100 percent juu ya unachopitia..nakuomba tumia sindano wengi wamepata ahueni ya asilimia 75%kwa sindano achana na habari za cream wala dawa..izo zinakua more functioning kwa wale ambao bado hawajafikia final stage ya kukatwa..kwako wewe kinachofanya kazi ni sindano tu kwa ambao hawajawa operated acha watumie vidonge😊

I know i might sound crazy..i know how hard it is but you have too..naomba jikaze be strong utapona🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom