paqwa Unashangaa eeh..kwako ajabu sana[emoji1751]Aisee mbona ni jambo dogo
sana kujua hilo wala hutumii akili kubwa ni kwa akili ndogo sana ya mtoto wa 6 years akisoma maandishi yako anaelewa kua unafoka..anaelewa kua wewe ni mtu wa Visirani..anaelewa kua wewe ni mtu usiejali Maumivu wala Hisia za waliokuzunguka[emoji4]
Kwa taarifa yako sio kufoka tu tayari nishakusoma ww ni mtu aina gani kuanzia kwenye ngazi ya family yako..kazini/Ofisini na kwa Jamii kwa ujumla
Maandishi yana reflect Personality yako kwa Asilimia 100 kwa ufupi yanakuelezea Uhalisia wako jinsi ulivyo
Kama hauna cha maana cha kuandika ni busara ukanyamaza tu[emoji4]