Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

Pole sana. Namuomba Mwenyezi Mungu aniepushe na hali kama uliyopata pia nakuombea uzidi kuimarika.

Navyojua ukiondoa hizo Korodani mwili lazima unawili yaani uwe mnene na mwenye afya. Kwa kuwa hauna matumizi mengine makubwa ya kusababisha utumie nguvu nyingi na virutubisho vingi kuunda manii.

Hivyo basi hayo makorombwezo yote yanarudi ktk circulation ya mwili na kwenda kujenga mwili zaidi.

Tukirud ktk history wakoloni walihasi wazee wetu ili wawe na nguvu nyingi za kufanya kazi na wasitamani wake wao.

Pia tukirejea Sayansi ya ufugaji. Ng'ombeb wnahasiwa ili wanawili pia wawe na nguvu zaidi.

Sasa nataconnect na hali ya udhoofu wako bado sijapata jibu nini kinatatiza au kinafanya udhoofu. Je ni hizo hormones or kuna jambo jingine au ni matokeo ya Medications?
Manii haizalishwi na korodani. Korodani inazalisha mbegu tu.
 
Pole sana.

Natumai utapata hapa majibu yakakayo kusaidia au kukupa meanga.

Nina swali.

Je unaweza kutuambia ni dalili gani ulianza kuzihisi kwenye korodani na mwili wako kabla hujathibitika kuwa na Cancer.
GenuineMan

Dalili zake ni nyingi miongoni mwake ni hizi
👇👇👇

  1. Kupoteza nguvu 😔
  2. Massive brain fog (trouble finding the right words when speaking also)sometimes ni ngumu kupata Kiswahili fasaha cha neno tuvumiliane
  3. No motivation kwenye sex
  4. Constantly tired mda wote
  5. No appetite
  6. Libido gone
  7. Too much sleep without feeling rested na mwili kuisha nguvu
  8. Mental health sucked🤦🧠
  9. Hard in breathing yaan kama mwenye tatizo la Moyo😔
  10. Korodani kuuma😔
  11. Korodani kuwasha😔
 
Bora liwe tatizo lenye suluhu ata kama gharama yake ni kubwa ila mimi ni maisha, namaanisha hadi nitakapotoweka hapa duniani 🤧🤧🤧
Pole sana mkuu. Ila ujue kuna watu wenye changamoto kuliko yako mara mia. Maisha yako yatakuwa vizuri. Kubaliana na hali na ukikaa vizuri tafuta mtoto/watoto u-adopt. Watu wanao-adopt watoto ni wengi sana, Sijui uko wapi lakini Ulaya na nchi zilizoendelea ni jambo la kawaida kabisa.
 
Kwanza naamini mkeo amejua kuishi na tatizo hilo.
Watoto ikibidi adopt hata kamoja.
Kama mkeo ana upendo wa dhati na wewe mbna hiyo sio shida yakufanya msifurahie maisha mkuu?
Wapo watu na korodani zao na sex life ni mbaya lkn maisha yanasonga.
Wewe zingatia afya yako ndo muhimu.
Pia usile sile madawa ovyo ukapata shida nyingine bure.
Maisha yana mengi mazuri bana.
Mwanamke nilimueleza akakubali, lakini naona kama vile namuonea yaani chini ya dakika mbili mtoto wa watu anavaa na kubakia kanyong'onyea hadi huruma,imefikia kipindi nataka kutumia vile vidonge vya kuongeza nguvu za kusimamisha mnara ila naona nitakuwa addicted...
 
Nihilist
Yaan naelewa kwa zaidi ya 100 percent juu ya unachopitia..nakuomba tumia sindano wengi wamepata ahueni ya asilimia 75%kwa sindano achana na habari za cream wala dawa..izo zinakua more functioning kwa wale ambao bado hawajafikia final stage ya kukatwa..kwako wewe kinachofanya kazi ni sindano tu kwa ambao hawajawa operated acha watumie vidonge😊

I know i might sound crazy..i know how hard it is but you have too..naomba jikaze be strong utapona🙏🙏🙏
NO, It doesn't sound crazy because the reality must be taught....Asante sana
 
Pole sana. Namuomba Mwenyezi Mungu aniepushe na hali kama uliyopata pia nakuombea uzidi kuimarika.

Navyojua ukiondoa hizo Korodani mwili lazima unawili yaani uwe mnene na mwenye afya. Kwa kuwa hauna matumizi mengine makubwa ya kusababisha utumie nguvu nyingi na virutubisho vingi kuunda manii.

Hivyo basi hayo makorombwezo yote yanarudi ktk circulation ya mwili na kwenda kujenga mwili zaidi.

Tukirud ktk history wakoloni walihasi wazee wetu ili wawe na nguvu nyingi za kufanya kazi na wasitamani wake wao.

Pia tukirejea Sayansi ya ufugaji. Ng'ombeb wnahasiwa ili wanawili pia wawe na nguvu zaidi.

Sasa nataconnect na hali ya udhoofu wako bado sijapata jibu nini kinatatiza au kinafanya udhoofu. Je ni hizo hormones or kuna jambo jingine au ni matokeo ya Medications?
Kwa binadamu ipo tofauti na ng'ombe maksai, unaweza tafuta maarifa ata mitandaoni (umuhimu wa korodani) utaelewa zaidi
 
Nihilist
Nimeskia Uchungu Mkubwa sana[emoji1751]ningekufahamu before this post here wala nisingekushauri juu ya Operation uliyofanya ningekukataza..Maskin🥲[emoji1751]Ungepona through injections yaan ulipojiharibu ni pale ulipokubali Operation [emoji134]

But maji yashamwagika sipaswi na sina haki ya kukulaumu kwasababu najua magumu uliyopitia mpaka hapo..Pole Kiongozi usiwaze kuhusu Watoto wafute kwenye ubongo wako..Wangap wako na kid’s na hao hao watoto wanaua Wazazi wao? Huenda watoto kwako wangekua SHARI kubwa kwako kuliko BARAKA[emoji120]

Tabasam you will be ok someday..you will be cured[emoji4][emoji123]

Testosterone therapy is awesome..[emoji17]it will be very good when you start it..Be sure to do the injections[emoji382][emoji382][emoji382]they work a lot better than the creams[emoji4] Please sindano endelea nazo although it’s somewhat crazy..ziko more powerful based on your diagnosis..But vumilia tu zinaumiza ila have faith..usidanganywe na dawa wengi watachukulia tatizo lako kama fursa be careful..am advising you in a highly manner [emoji120]

Do the injections every week (or even twice a week)..Everyone's dose is different so make sure your doctor is giving you the dose that works best for you

7days after your injection is when you want to do lab work.. You want your levels somewhere around 700ng/dL on day 7

The way the injections work is they peak in your body 24-48hrs after the injection and go down every hour and day after that.. Make sure they monitor your estradiol levels

Testosterone in most men is converted to estradiol and most men on testosterone will have higher estrogen levels..You want your estradiol on day 7 to be somewhere around 20-30pg/mL. If it is higher you could not notice any benefit of the testosterone or worse have bloating..water wt gain..nipple sensitivity or (rare) breast tissue development or erectile dysfunction

If estradiol is high there are prescription estrogen blockers most commonly anastrozole/arimidex the doctor can prescribe[emoji4]

Most doctors will twist you up..Fight with them if you have to.. Remember it is your health..your body[emoji4]

Look things up[emoji4][emoji112]..Am humbly wishing you a fast recovery..This too shall pass[emoji120][emoji120][emoji120]
Sorry mkuu ukiacha operation ni njia gani nyengine ingetumika ikiwa madaktari wame confirm kwamba ana dalili za testicular Ca

Which injections zingemsaidia kumtibu naomba kufahamu
 
Sorry mkuu ukiacha operation ni njia gani nyengine ingetumika ikiwa madaktari wame confirm kwamba ana dalili za testicular Ca

Which injections zingemsaidia kumtibu naomba kufahamu
halloperidon Sorry Mkuu narrate well your Question 🙋‍♀️ 🙋‍♀️🙋‍♀️ili nikikujibu na wengine wanufaike😊

Your diagnosed with Testicular Cancer ♋️ or what? Usiweke vifupisho andika neno sahihi kama lilivyo 😊🙏
 
Nihilist Asante kwa kunielewa..dont try to use anything kuhusiana na sex energies sijui vidonge vya kuongeza nguvu za kiume..yaan don’t dare kama unahitaji kuendelea kupumua😊🙏🙏🙏
Kuhusu sex siwezi lazimisha ila vipi kuhusu nguvu ya kufanya kazi.?. maana mimi kutwa nzima nimechoka ata kama nipo kitandani morning to evening...
 
Testestone si zinazalishwa na korodani.

Sasa zitazilishwa vipi
 
GenuineMan

Dalili zake ni nyingi miongoni mwake ni hizi
👇👇👇

  1. Kupoteza nguvu 😔
  2. Massive brain fog (trouble finding the right words when speaking also)sometimes ni ngumu kupata Kiswahili fasaha cha neno tuvumiliane
  3. No motivation kwenye sex
  4. Constantly tired mda wote
  5. No appetite
  6. Libido gone
  7. Too much sleep without feeling rested na mwili kuisha nguvu
  8. Mental health sucked🤦🧠
  9. Hard in breathing yaan kama mwenye tatizo la Moyo😔
  10. Korodani kuuma😔
  11. Korodani kuwasha😔
Daaah, yaani umetaja matatizo yote niliyonayo yaani kama vile unaniona, yaani imefikia kipindi natamani nizaliwe upya ili nipate mwili mpya
 
Pole sana mkuu. Ila ujue kuna watu wenye changamoto kuliko yako mara mia. Maisha yako yatakuwa vizuri. Kubaliana na hali na ukikaa vizuri tafuta mtoto/watoto u-adopt. Watu wanao-adopt watoto ni wengi sana, Sijui uko wapi lakini Ulaya na nchi zilizoendelea ni jambo la kawaida kabisa.
Suala la mimi kupata mtoto mbona silipi kipaumbele sana, Shida ni mwili wangu kwanza, nitaponaje walau kwa muda (artificially).?
 
Mimi niulize swali hapohapo.

Hivi wakati wa mshindo kwenye tendo, kutoa bao jingi/shahawa nyingi almost robo kikombe na nzito haijalishi ni bao la 1 au la 3 mfululuzo ni tatizo??

maana daah[emoji23] huwa natoa mabao mazito zito mpka wadada wanalalamikaga kwamba nakulaga nini
 
Back
Top Bottom