Sasa huyu nimwanamke nawewe nimwanaume hata kama zngekuwa zinahama cdhani kama zngeendana labda ujaribu kumuhamishia mwanaume mwenzio cjui utamuamishia kupitia njia gani?Pole....zingekuwa zinakubali kuhama km vocha ningekurushia maana mm nna nguvu mpaka naona namtesa wife
aliyeomba msaada wa ushauri ni KE mkuu...!!!....hukumaliza kusoma kichwa cha habari....ukakurupuka ku'comm'nt....Pole....zingekuwa zinakubali kuhama km vocha ningekurushia maana mm nna nguvu mpaka naona namtesa wife
Pole dear Ntigy usijali huna tatizo kubwa utasaidiwa, pia nisaidie kujua kama kipindi unaanza kufanya mapenzi ulikuwa sawa ndio ukaanza kupoteza hamu kidogo kidogo au ulipofanya mara ya kwanza ukagundua huna hisia?Sijawahi kuliwa nyuma,sijakeketwa nampenda sana mpenzi wangu lakini hali ndo hiyo.
Ukimsaidia hapa utakua umewasaidia wengiNi pm nikusaidie
Ni kweli, kuna siri gani ya kuficha, wapo wengi wengine hawajasema tu!Ukimsaidia hapa utakua umewasaidia wengi
Asante mkuu,ushauri wako nitaufanyia kazi.Jitahidi kula vyakula asilia
Mihogo na viazi vya kuchemsha,mboga za majani kwa sana + matunda,ugali wa dona,epuka nyama za ng'ombe na sausage Mara kwa Mara
Pia ongeza kahawa,tangawizi+asali,bila kuacha supu ya pweza.
Punguza mawazo vilevile uwe na maandalizi ya kutosha b4 match
Km ikishindkana nitafute private
Okay
Kwavile hormone levels ziko normal, it sounds like a deeper issue. Ina maana ni psychological
Nimeona umemjibu mtu kuwa una mpenzi na unampenda, kwa hiyo nitaasume huna any relationship problems
Ila kama unastress na unafanya vitu vinavyo kufanya uwe unachoka, pia inaweza kuchangia hali hiyo
Kitu kingine ni depression
Pia dawa za kuzuia mimba zinaweza kusababisha hiyo hali
Ushauri wangu ni kama unatumia dawa za kuzuia mimba, basi punguza na muwe mnatumia condom
Pia nenda kaonane na psychologists na halafu ukafanye vipimo vingine zaidi ili kujua kama kuna underlying medical conditions
Nina muda mwingi wa kupumzika. Sidhani kama naishi kwa mazoea kwani hata nikikaa miezi 6 pasipokufanya hilo tendo,wala mwili hausisimki kwa hamu.Yawezekana unafanya shughuli nyingi bila kupumzika. Jaribu kupumzika. Pia huenda ukawa unampenda mpenzi wako kumbe umemzoea. Uaweza pia toka nje uone kama linajirudia.
Ulishauriwa utumie k-y jelly kufanyia nini hebu kakavua kidogoWahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.
Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
Ni mapepo hilo, Nenda kanisani ukaombewe lakini sharti uwe umeolewa maombezi kwa ajiri ya wewe na mumeo sio unaenda kanisani kuombewa ili ukafanye mapenzi kiholela holela yaani ujaolewa Mungu atakuadhibuWahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.
Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
Hazitibu tatizoNiliwahi shauriwa na mtu kuhusu hizo bubble gum za kichina,ila naogopa zaweza kuwa na side effects.
Katika vyote ulivyovitaja strawberry tu ndo sijawahi kutumia,vingine vyote nimetumia sana na havijafaa kitu.KUNA Juice ya tende,
strawberry,
watermelon.
Mlonge,
vitunguu swaumu,
pweza,
Asali ,mdalasini,
pamoja na vingine kibaaaooo!
vyote hivyo haujaviona???
Asante kwa ushauri mzuri. Nitaufanyia kazi.kuna mambo mengine mwanadamu hawezi kuyatibu lakini Mungu pekee ndiye awezae kukuponya
Nakuahauri tu umpokee Yesu awe mwokozi wa MAISHA yako
Ukishampokea huyu Yesu unafuata utaratibu wa kufunga na kuomba ili hili tatizo kuliondoa
hutabaki kama ulivyo
Naomba uuamini ushauri wangu na Mungu akusaidie