Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Ndio, hazina shida kwani ni mitishamba tu hiyo na imepimwa kisayansi.Ni kama tu unapotumia supplements za folic acid.

Ndio, hazina shida kwani ni mitishamba tu hiyo na imepimwa kisayansi.Ni kama tu unapotumia zinc au
kwa dar zinapatikana duka gan?
 
hhahahahaha
 
Je zinapatikana hapa nchini?

Makadirio ya bei kwa chupa moja ni kiasi gani?

Kwa nje ya nchi naona ni nyingi.
Mkuu nilisahau kuweka bayana jambo la msingi sana kuhusiana na price,inaweza pia ukapata Kwa bei ya chini kuliko niliyokutajia, kwani hizi supplements kwa uzoefu wangu bei huwa inategemea na ni capsules ngapi zimo ndani.Kuna 60,120,180 capsules.
 
Sijawahi kuliwa nyuma,sijakeketwa nampenda sana mpenzi wangu lakini hali ndo hiyo.
Una historia ya kupiga punyeto? Unatumia madawa ya uzazi wa mpango? Nijibu hili swali kwanza ndio utashauriwa vizuri
 
Asante mkuu,sio kweli kwamba ninaishi naye kwa mazoea,tunapendana sana na anajitahidi sana kuniandaa vya kutosha lakini sisimki kabisa.
 
Na vipi kama mtu amezaliwa na hilo tatizo,yani mfano binti akiwa hajawah kuwa na hisia toka azaliwe??
 
Pole dear Ntigy usijali huna tatizo kubwa utasaidiwa, pia nisaidie kujua kama kipindi unaanza kufanya mapenzi ulikuwa sawa ndio ukaanza kupoteza hamu kidogo kidogo au ulipofanya mara ya kwanza ukagundua huna hisia?
Tatizo limekuja baadae,mwanzoni nilikuwa sawa kabisa.
 
Asante mkuu,ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Asante mkuu, mpaka wa wapi wanapouza hizo dawa?
 
Ushauri mzuri, aufanyie kazi.
 
Ni mapepo hilo, Nenda kanisani ukaombewe lakini sharti uwe umeolewa maombezi kwa ajiri ya wewe na mumeo sio unaenda kanisani kuombewa ili ukafanye mapenzi kiholela holela yaani ujaolewa Mungu atakuadhibu
Asante kwa ushauri
 
Hi Ntigy!

1. How old are you?
2. Have you been doing mustarbation?
3. Make sure your man makes romance for not less than 45 minutes before he enters you.
4. Watch porn before sex.

All the best dear.
Acha kumdanganya mwenzako aangalie porn, hiyo itaua kabisa nguvu za kike kwa upande wa hisia. Haifai kabisa.
 
Mkuu nilisahau kuweka bayana jambo la msingi sana kuhusiana na price,inaweza pia ukapata Kwa bei ya chini kuliko niliyokutajia, kwani hizi supplements kwa uzoefu wangu bei huwa inategemea na ni capsules ngapi zimo ndani.Kuna 60,120,180 capsules.
Ok,asante.
 
Una historia ya kupiga punyeto? Unatumia madawa ya uzazi wa mpango? Nijibu hili swali kwanza ndio utashauriwa vizuri
Sijawahi kupiga punyeto wala kutumia dawa za uzazi wa mpango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…