Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania.
Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi.
Mmoja ni winga.
Ni dogo wa miaka kama 17 hivi ni 17 kweli sio za mchongo.
Dogo kipaji anacho, kwanza ana speed ana umakini na vitu vingi katika mguu wake.
Pia ni anaweza cheza kama kiungo mshambuliaji.
Wa pili ni kipa
Huyu ana miaka wastani wa 18,19
Alikuwa secondary amerudi kijijini kwao ndio kipa wa kijiji kwa sasa.
Dogo ni mrefu kama metacha flani hivi.
Wazee naombeni msaada wenu kwenye kusaidia vipaji vya hawa vijana.
Ni vile tu mimi sina mamlaka ya kisoka katika nchi lakini nawahakikishia vijana hata timu ya taifa wanacheza vizuri tuu.
Kwa mwenye uhitaji wa hawa vijana njoo PM nipo tayari kuwagharamia nauli mpaka wanafika katika eneo husika.
Na sio tu nauli hata pesa ya kujikimu katika huo mda watakao kuwa katika eneo lako.
Ahsante