😩😩😩Dalali kwenye ubora wako.
Poa mzeeSafi sana mkuu, umewaza vizuri sana kuleta mada hapa JF, naungana na jamaa waliokushauri hapo juu.
Tafadhali sana mkuu usikate tamaa kuwapambania hao madogo, na tunaomba usiache kuleta mrejesho hapa JF hatua utakayofikia.
All the best Chieftain [emoji109]
Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
Aaaaaaamambo yangu hayo zamani
ila alichonifanya mchezaji yule sitasahau!
hizo mambo ni pesa sana kikubwa uwekeze na kuvumilia. utavuna makubwa. west african waliamka zamani. pia hata wanariadha shavu sana unamtupa Kenya hapo. mengine yanaenda smoothly.
mkuu kama una pesa nikupe njia unampeleka academy SA
Sikuwa na video yao ila leo kuna gemu anacheza huyu winga nitajitahidi nipate ka videoWeka kavideo tujiridhishe kama wazungu wamo.Kisha tukamvamie Shafi kwa umoja wetu mpaka kieleweke.By the way kumbe Mitanzania yenye roho nzuri bado ipo.
[emoji23][emoji23] bongo akili tu kutoboa. [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa ufupi mkuu umekua wakala wa wachezaji, siku hizi mpira ni pesa sio kipaji tena japo kipaji pia kinachangia 50% kwa mafanikio, kukaribishwa kwenye academy ya mpira nzuri ya kimataifa inalipa kama Ada ya shule, utakapo uzwa ndo pesa yako itarudi, nakushauri wekeza pesa zako kwenye hao vijana waingia academy nzuri zoko dar.