Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viral road. Target not detectedAsiwe na Hofu wala Kusema Kwamba Atamwambukiza Mumewe maana Mpaka hapo Hawezi Mwambukiza. Kikubwa Atumie Vidonge kwa usahihi Na Akipimwa Iwe Inasoma TND. Hawezi Mwambukiza Sema Tu Akae Mbali na Wambea Na Siri yake Asimwambie Mtu Yeyote yule.
IMEJIDHIHIRISHA KUWA:-Mwanachama #001
Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa.
Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU lakini mume wangu hajui.
I like this.Haupo tayari kumwambia kwa kuwa haupo tayari kumpoteza ila uko tayari kupoteza uhai wako. Hili si sawa. Jivunie maisha uliyoishi naye na hukumwambukiza. Takafakari kwa kina mweleze ukweli. Akikuacha mshukuru Mungu kwa kuwapa kumbukumbu nzuri ya watoto kisha songa mbele. Ila usitoe uhai.
Kuwa tayari kwa lolote ili maisha yasonge mbele hata kwa kutokubaliana.
NAKUSHAURI: MWAMBIE UKWELI MUME WAKO KAMA KWELI UNAMPENDA VINGINEVYO UTAONGEZA HASIRA KWAKE PALE ATAKAPOTAMBUA UMEMUAMBUKIZA.Mwanachama #001
Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa.
Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU lakini mume wangu hajui.
mwanzoni mimi nilidhania alijua.maana nilihisi nilipata kwake... Nilikutana naye 2016, kisha nikabainika kuwa na VVU wakati nilienda klinic kwa mara ya kwanza kumpata mtoto wetu wa kwanza.
Sasa wakati wa ujauzito nilikuwa nimeharibiwa kifikra nanilivunjika sana moyo! sikuweza kumwambia sababu nilifikiri nimepata kutoka kwake! Nikawa nasema labda alikuwa akificha kuhofia tungeachana!
Niliamua kumezaa mate machungu na niliamua kuficha siri yangu pia mpaka sisi wote tujee kubumiana juu ya hali zetu yetu
Nilipewa matibabu ya VVU kwa hivyo mtoto wangu alitoka negative bila maambukizo ni bahati nzuri damu yangu ilikua na idadi ndogo ya virusi!
Nilificha siri maana nilimpenda sana mwanaume wangu na sipotayari kuachana nae hivo Tuliendelea kupata mtoto mwingine ...sikumwambia hali yangu.
hivi majuzi nilikuja kujua hana VVU maana tulienda hospitalini pamoja sababu mtoto wetu yule wakwanza alikuwa akiumwa! Na hospitali zetu za serikali basi wakiona hawakuelewi lazma wakushawishii ufanyiwe kipimo...pale mm nilijua ni siku yetu ya kugunduana!
Majibu yalikuja na kuonesha yeye na mtoto hawana maambukizi mm majibu yangu ndo yalikuja tofauti lakini pale pale tuliambia wote hatuna... ila nimshukuru muuguzi maana alificha ukweli kwanza na kuniita pembeni kuniuliza maswali mengi! Nilihisi kujinyea na kujikojolea maana ndoa yangu ipo matatani!
tangu siku hiyo sijawa na Amani... Najua wengine humu wanavyo hivyo najua mnaelewa jinsi inavokatisha tamaa kuambiwa utaishi kupitia vidonge na vidonge vimekua sehemu ya maisha yangu.
Kwa kweli ninajisikia mwenye hatia sana, na siwezi kusema yeye ndo sababu , nashindwa kumwambia maana itakuwa ndo mwisho wa ndoa yangu na furaha yangu!
Naogopa ataninyanyapaa! Naogoapa anaweza kunizuia kuwaona watoto wangu pia. Ninaogopa sana, niamini niliishi ujana mzuri kabla ya ndoa cjadanga danga wala sikua na hulka ya kubadilisha mashinee tofauti zinazoingia kwenye k*m* yangu
sijui walaii nimepataje virusi hivi, nimekuwa nikificha kwa miaka minne sasa ,nilidhani alikuwa akificha yake pia kumbe maskini nilimshuku buree mume wangu
Hapa natamani niigee mbinu za wahehe kujinyongea mbali maana ni aibu aibu ...yaani yule mume wangu ananipenda sana, atakuwa amevunjika sana moyo akigundua nina VVU.
Mimi nahisi nishakua wa hovyoo , hofu ya kuachika ipo kichwani sanaa... nataka kuishi ndoa yangu, lakini nitatumia kosa gani kuishi. Nikisema niliteleza nitaonekana malaya! Jaman naandika nikilia [emoji24][emoji24]
Nitavumilia kwa muda gani kuishi maisha bandia maana hapa naigizaa tu! Siri iliyopo moyoni inanikondesha zaidi ya ugonjwa wenywe! Siwezi hata kumtazama mume wangu au kwenda karibu na yeye sababu ninaogopa kumuambukiza, yeye ni mtu mzuri sana hastahili hii. Infact nataka kufa, sababu sitaki kumletea huyu mwanaume majanga! Laiti ingekua inatibika lakin kwa hili ni mpaka kaburini nahofia na sitaki...huwa sipo huru sanaa anaponikunja kunja kitandani, hua nalia sana ila yeye anajua nanogewa ila mm najua nakosea na sitaki ndoa yangu ivunjike
Ntamiss sana mapigo yake staki aniachee! Cjui ntadanganya kwa staili gani... Maisha ndani ya vvu asikudanganye mtu... Ni mabaya sana sana.
Naombeni ushauri... Mapovu Ruksa
Hapa ndipo ulipoutoa ila nyie wanawake basi tusikua na hulka ya kubadilisha mashinee tofauti zinazoingia kwenye k*m* yangu
Usiogope hata kidogo, mwambie ukweli ili mpime zaidi inawezekana yeye ni career.Career hata akipimwa kawaida anaonekana ni negative.Ila kila atakayepiga peku anao.Usiogope kwani kama ni kweli yeye hana utakuwa unamlinda na huo ndo upendo.Mwanachama #001
Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa.
Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU lakini mume wangu hajui.
mwanzoni mimi nilidhania alijua.maana nilihisi nilipata kwake... Nilikutana naye 2016, kisha nikabainika kuwa na VVU wakati nilienda klinic kwa mara ya kwanza kumpata mtoto wetu wa kwanza.
Sasa wakati wa ujauzito nilikuwa nimeharibiwa kifikra nanilivunjika sana moyo! sikuweza kumwambia sababu nilifikiri nimepata kutoka kwake! Nikawa nasema labda alikuwa akificha kuhofia tungeachana!
Niliamua kumezaa mate machungu na niliamua kuficha siri yangu pia mpaka sisi wote tujee kubumiana juu ya hali zetu yetu
Nilipewa matibabu ya VVU kwa hivyo mtoto wangu alitoka negative bila maambukizo ni bahati nzuri damu yangu ilikua na idadi ndogo ya virusi!
Nilificha siri maana nilimpenda sana mwanaume wangu na sipotayari kuachana nae hivo Tuliendelea kupata mtoto mwingine ...sikumwambia hali yangu.
hivi majuzi nilikuja kujua hana VVU maana tulienda hospitalini pamoja sababu mtoto wetu yule wakwanza alikuwa akiumwa! Na hospitali zetu za serikali basi wakiona hawakuelewi lazma wakushawishii ufanyiwe kipimo...pale mm nilijua ni siku yetu ya kugunduana!
Majibu yalikuja na kuonesha yeye na mtoto hawana maambukizi mm majibu yangu ndo yalikuja tofauti lakini pale pale tuliambia wote hatuna... ila nimshukuru muuguzi maana alificha ukweli kwanza na kuniita pembeni kuniuliza maswali mengi! Nilihisi kujinyea na kujikojolea maana ndoa yangu ipo matatani!
tangu siku hiyo sijawa na Amani... Najua wengine humu wanavyo hivyo najua mnaelewa jinsi inavokatisha tamaa kuambiwa utaishi kupitia vidonge na vidonge vimekua sehemu ya maisha yangu.
Kwa kweli ninajisikia mwenye hatia sana, na siwezi kusema yeye ndo sababu , nashindwa kumwambia maana itakuwa ndo mwisho wa ndoa yangu na furaha yangu!
Naogopa ataninyanyapaa! Naogoapa anaweza kunizuia kuwaona watoto wangu pia. Ninaogopa sana, niamini niliishi ujana mzuri kabla ya ndoa cjadanga danga wala sikua na hulka ya kubadilisha mashinee tofauti zinazoingia kwenye k*m* yangu
sijui walaii nimepataje virusi hivi, nimekuwa nikificha kwa miaka minne sasa ,nilidhani alikuwa akificha yake pia kumbe maskini nilimshuku buree mume wangu
Hapa natamani niigee mbinu za wahehe kujinyongea mbali maana ni aibu aibu ...yaani yule mume wangu ananipenda sana, atakuwa amevunjika sana moyo akigundua nina VVU.
Mimi nahisi nishakua wa hovyoo , hofu ya kuachika ipo kichwani sanaa... nataka kuishi ndoa yangu, lakini nitatumia kosa gani kuishi. Nikisema niliteleza nitaonekana malaya! Jaman naandika nikilia 😭😭
Nitavumilia kwa muda gani kuishi maisha bandia maana hapa naigizaa tu! Siri iliyopo moyoni inanikondesha zaidi ya ugonjwa wenywe! Siwezi hata kumtazama mume wangu au kwenda karibu na yeye sababu ninaogopa kumuambukiza, yeye ni mtu mzuri sana hastahili hii. Infact nataka kufa, sababu sitaki kumletea huyu mwanaume majanga! Laiti ingekua inatibika lakin kwa hili ni mpaka kaburini nahofia na sitaki...huwa sipo huru sanaa anaponikunja kunja kitandani, hua nalia sana ila yeye anajua nanogewa ila mm najua nakosea na sitaki ndoa yangu ivunjike
Ntamiss sana mapigo yake staki aniachee! Cjui ntadanganya kwa staili gani... Maisha ndani ya vvu asikudanganye mtu... Ni mabaya sana sana.
Naombeni ushauri... Mapovu Ruksa
Akija kujua lazima akimbie nyumba na ndio itakua umeharibu zaidi na umekaribisha kifo chako (mgonjwa wa ukimwi mawazo ndio kifo chake).Mwanachama #001

Nina swali, mlipoenda kupima wote pamoja na mtoto, uliwezaje kupata majibu yako bila mumeo kujua?Mwanachama #001