Nina wasiwasi kuna Bia za kuchakachua hapa mjini

Mfanyabiashara wa vinywaji atakaestukia dili akaanza kuuza heineken za take away zile za can atapiga hela sana, sababu wapenzi wa heineken wamehamia kwenye hizo, hizo uchakachuaji ni mgumu kdg sababu ya packaging yake, ila hixi za chupa ni balaa tupu
 
Naunga mkono hoja, nilikunywa Heineken baridi pale Dubai airport ilikuwa nzuri sana ukilinganisha na bongo! Cjui ni kwa sababu bei nilipigwa??
 
Magonjwa ya Figo, ini, sugaring na Cancer watu wanapata katika mambo haya pia. Kuna kula na kunywa vitu vingi fake. Kuna haja ya Mamlaka kuwa serious ktk kufuatilia Usalama wa Afya za wananchi. Why Heineken ya Mlimani City, Serena nk zitofautiane ladha, harufu na povu na Heineken za kwenye Baa za mitaani. Why Heineken ya Kenya, South Africa au Dubai ziwe tofauti na zinazouzwa mitaani
 
Hata hizi bia za TBL nyingi zinachakachuliwa sana

Mimi siku nikiwa na mzuka wa bia basi KILIMANJARO ndio via yangu ila huwa napata ladha tofauti sometimes.

Unaweza Kuta bia ina ule utamu wake wa asili

Sometimes unakuta ladha kama ya mimaji hivi.

Tunauziwa SUMU sana.

Siku hizi nimepunguza bia nimehamia kwenye wine hasa hizi local wine zetu.

At least kidogo unapata thamani ya Hela Yako
 

Ni ulimi wako umebadilika ladha..
 
Mfanyabiashara wa vinywaji atakaestukia dili akaanza kuuza heineken za take away zile za can atapiga hela sana, sababu wapenzi wa heineken wamehamia kwenye hizo, hizo uchakachuaji ni mgumu kdg sababu ya packaging yake, ila hixi za chupa ni balaa tupu
Halafu eti hata Heineken za chupa nazo ni take away lakini tujiulize huwa zinakwenda wapi maana hazionekani kutupwa.

Binafsi nina question vyombo vyetu vya usalama kutokuyajua haya, maana wala haihitaji nguvu kubwa kupata taarifa ya double hii. Ni vema suala la Usalama wa Afya za watu likapewa priority kuliko hata taarifa za Siasa. Kwenye issue ya usalama wa vyakua/vinywaji na Madawa ya tiba ni muhimu sana kuliko issue za kisiasa
 
Waliposhikwa wachina wanaochakachua K-VANT ulifikiri nyinyi wengine mtakuwa salama?
 

Ila kuwa mlevi ni mateso sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…