Nina wasiwasi kuna Bia za kuchakachua hapa mjini

Kuna mwana ana kiwanda home usiku anajaza kwenye Canter uelekeo Korogwe-Moshi-Arusha (mara 3 Kwa wiki)
 
Bia nyingi za hapa Dar ni za leoleo.

Ukiletewa bia angalia production date yake utaona ni ya juzi tu, yaani imetengenezwa wiki mbili au moja iliyopita hivyo haijachanganya bado.

Bia nzuri angalao iwe ya miezi mitatu au miwili iliyopita.
Ndio inakuwa tamu na povu la kunukia vizuri.
 
Ukinywa serengeti lite nyingi lazma utaharisha 🤣🤣🤣 huwa haziivi maana ndio bia inanyweka sana Dar.
 
Kuna mwana ana kiwanda home usiku anajaza kwenye Canter uelekeo Korogwe-Moshi-Arusha (mara 3 Kwa wiki)
Anaweka bia gani sasa mwanangu 🤣 mbona sielewi mfano vinywaji vikali si vina seal na label ya TRA?
 
Back
Top Bottom