financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Gwiji kwenye tasnia unafahamu hadi kimea kimeiva or not duh😀Mi nalia na safari tuu yani siku hizi kimea hakiivi kabisa wananikosea sana hawa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwiji kwenye tasnia unafahamu hadi kimea kimeiva or not duh😀Mi nalia na safari tuu yani siku hizi kimea hakiivi kabisa wananikosea sana hawa watu
..........Ballantine's Kubwa VS Ndogo !!Niliwahi kunywa Henessy ndogo ile ila ladha yake ilikuwa ni ya Valeur Brandy by 100%
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiombe unywe feki nyingiii dadek asubuhi utaliaNiliwahi kunywa Henessy ndogo ile ila ladha yake ilikuwa ni ya Valeur Brandy by 100%
Balantines ladha yake ni kisungura 🤣🤣🤣..........Ballantine's Kubwa VS Ndogo !!
Serengeti Light si za Wadada zile.Ukinywa serengeti lite nyingi lazma utaharisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwa haziivi maana ndio bia inanyweka sana Dar.
Haaahaaa!!Ni ulimi wako umebadilika ladha..
Duh 🙄Kuna namna vyombo vinavyohusika vitupie jicho maana nchi hii kuna matapeli wengi sana na ndio maana magonjwa ya Figo , ini na Cancer
yamezidi kuongezeka sana
Si ndio naifahamu tangu naagizwa mpaka sasaGwiji kwenye tasnia unafahamu hadi kimea kimeiva or not duh😀
You mean tangu ulivokua mtoto unaagizwa? Mpaka sahivi unatumia mwenyewe?😀😀Si ndio naifahamu tangu naagizwa mpaka sasa
we unaongelea bia mbali kote huko,Sina nia ya kuwatisha wanywaji wenzangu wa bia. Lakini nimekuwa ninafanya ulinganifu ninapokunywa bia nikiwa Kenya na nikiwa Tz. Mfano ladha ya Heineken ya Kenya ni tofauti .
Pia Heineken ya sehemu kama Serena hotel au Supermarket kubwa unakuta ina utofauti wa Ladha na hata harufu na Heineken zinazouzwa kwenye Baa za mitaaani.
Za mtaani asilimia kubwa zimetulia hazina vipovu vilivyochangamka, pia zina harufu na hata umwe vipi hucheuwi hata kidogo, lakini za Serena hotel na Big Supermarket ambazo zina ladha, zinatoa vipovu vilivyochangamka na ukinywa unacheua.
Kuna namna vyombo vinavyohusika vitupie jicho maana nchi hii kuna matapeli wengi sana na ndio maana magonjwa ya Figo , ini na Cancer
yamezidi kuongezeka sana
Nchi hii jamani. Bahati mbaya sana inaonyesha vyombo vinavyohusika na usalama wa vyakula na vinywaji havijalichukulia kwa uzito suala hili. Kuna uwezekano mkubwa watu wanapata maradhi ya Ini, Figo nk sababu hii.we unaongelea bia mbali kote huko,
watu wanachakachua mpaka maji ya kunywa juzi nmeenda sehemu nmekunywa maji ya kilimanjaro ya 500 ladha yake bora hata ya bombani maana kama yana vijichumvi
Umeona eh?toka lini safari ikawa na undimu ndimu?Mi nalia na safari tuu yani siku hizi kimea hakiivi kabisa wananikosea sana hawa watu
Hahahahah wadada bia zao ni Redds, Savanah, Desperado na Flying fish. Wine zao ni Saint Anna na Robertson.Serengeti Light si za Wadada zile.
Wanaume watumie japo Casttle Light inafaa.
Kuliko Mdada anywe Serengeti Light na Mkaka nawe unywe Serengeti Light haipendezi kwakweli.
Mimi ilinikuta kwenye St. Anna. Ilikuwa Sumbawanga, Ile kumimina kwenye glass ikaanza kufoka povu kama bia. Aisee niliacha kunywa zile wine.Hii ni kweli kabisa. Na hasa heineken wanachakachua sana, hii kitu imenifanya niache kunywa bia kabisa.
Kuna siku nimenunua heineken naweka kwenye glass lkn huoni lile povu nilozoea, kuinywa sasa radha hamna kabisa. Wanatunywesha mambo ya ajabu sana siku hizi
Hapo kwenye Ulanzi umenigusa vema kabisaaaa.Sisi wengine hayo tuliyajua Zamaaani! Ndo maana siku hizi tunajirusha na
Komoni
Myakaya
Mnazi
Ulanzi
Chimpumu.... Nk