Nina wasiwasi na mke wangu...

Mkuu nilimruhusu sababu yakusema ameitwa na dadazake but haijulikani nini shida kwakuwa ni familia yake nikamruhu aende ili tujue nini shida huko
kwanini dada zake wasikupigie wewe mwenye mke ili utoe ruhusa au vinginevyo, au mkeo ndiyo mkuu wa kaya yako?
 
Kukusaidia, fanya kuingia kwenye simu yake google maps, check timeline
 
Sitaki kuamini kama kweli wewe ni mwanaume. Mwanaume uliyeoa kwa hiari yako na unafahamu maana ya mwanaume kichwa cha familia usingethubutu hata kuandika ulichoandika ni aibu.

Huyo mwanamke anaonekana ndiyo anakuweka mjini so huna chakumfanya mkuu. Anyways, pole sana ila jitahidi umiliki uchumi wako haya hutayaona.
 
Umechapiwa atakuwa alikunjwa kweli kweli mpaka akadahau kukutafuta usiku
 
Dah we acha tu kuna demu alishawahi kuongea na bwana ake kuwa yupo kikazi mkoani kumbe yupo zake gesti tena kakalia mlingoti wa chuma...hivi viumbe ni vya kuviogopa aisee, vikiamua kukusaundisha huwezi kuchomoka. Kikubwa tuishi nao kwa akili. Unaweza kumchunga asitoke na bado akamleta bwana ake humo humo ndani mwako wakati upo kazini na akagegedwa!!

Watu wanaofanya kazi maofisini (waajiriwa wa serikali na sekta binafsi) wanagongewa sana kwa style hiyo. Kwasababu muda wao wa kurudi home unakuwa predictable.
 
Wanawake wa kirangi, kinyaturu, kimbulu na kinyiramba unatakiwa uishi nao sana kwa machale. Kwanza wanapenda kuongea kilugha mbaya zaidi inakuja pale ambapo wewe hujui lugha yao.So anaweza kuongea na bwana ake wa kabila lake hapohapo sebuleni kwako bila ya wewe kujua. Wamejaaliwa kuwa wazuri mfano si mnamuona yule wema sepenga, ila sasa huwa si wachoyo kugawa nyuchi zao kwa yule atakayeomba.
 
Wewe ni mwanamke labda umeleta mada hii kinyume chake yaan mwanaume wako ndo amesafiri kihuni.

hakuna mwaname duniani aliye oa akawa mpumbavu kiasi hicho!! yaan nikuoe alafu uniambie dada zako wamekuita kipumbavu tu alafu uende!!!! Ukienda ndo talaka hiyo na hakuna mjadala wa kuendelea kuwa na mwanamke mpumbavu.

Mwanamke hata akitoka nyumban tu kwenda sehm ya umbali KM 5 anapaswa kuniomba ruhusa na mpaka nikubali ndo aende hata kama sipo nae hapo.

Ww ni mjinga wa kiwango cha lami , hauna sifa ya uanaume na kiongozi wa familia.
 
Kulea mtu adi akakata roho ni kazi kweli kweli kijana tulia izo ndo shida zenyewe ulizoapa utazivumilia uyo ni mtihani umepewa Allah akufanyie wepesi inshaallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…