Pre GE2025 Nina wasiwasi sana na uchaguzi wa Rais Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Labda washinde njaa.

Watanzania wa awamu hii hatutakuwa wajinga kama wale waliowazoea siku zote.
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.

Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
Usijidanganye Uchaguzi mgumu kuwahi kutokea ulikuwa wa mwaka 1995(Dr Lyatonga vs Mkapa) na 2015(Dr JPM vs ENL) tu ,mingine yote FUTUHI.
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.

Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
Majority ya hao wagombea ni washirikina sasa sijui wasali maombi yao wakipeleka wapi...
Personally nimefurahi sana ujio wa Lissu the Great!...
CCM wana dharau sana...wamesababisha majitu yamekuwa machawa na mazezeta tu..specifically vijana..hayataki kufanya shughuli yoyote kazi ni kuramba viatu tu..generation ya kipuuzi sana...useless kabisa .
 
Haha kweli utakuwa mgumu lakini nami naona tofauti nawe, naiona CHADEMA in reigning position. Watanzania wanahitaji mabadiriko na mabadiriko ya uongozi yaliyoanzia ndani ya CHADEMA na mwamko wa watanzania juu ya siasa za hii nchi kuna jambo kubwa linaenda kutokea 2025
 
Sawa subiria mda
 
WAKIACHIWA WAPIGA KURA CCM HAISHINDI, HIVI UNAJUA KUWA HAWAPENDWI JAMANI TOKENI MTAANI HUKU JARIBUNI KUCHUNGUZA SIWATANII
 
Majority ya hao wagombea ni washirikina sasa sijui wasali maombi yao wakipeleka wapi...
Personally nimefurahi sana ujio wa Lissu the Great!...
CCM wana dharau sana...wamesababisha majitu yamekuwa machawa na mazezeta tu..specifically vijana..hayataki kufanya shughuli yoyote kazi ni kuramba viatu tu..generation ya kipuuzi sana...useless kabisa .
KUNA MUDA NATAMANI NIWE BONGO LAKINI RAIS WANGU AWE TRUMP.
 
Marehemu shekhe yahaya alishatabili baada ya kifo cha Rais aliyopo madarakani atakuja Rais mwanamke atatawala awamu moja tu, baada ya hapo upinzani utashika nchi so si ndio sasa 2025 yani ni humu tu humu tu
 
Mimi ninachoona hapa upinzani wamepata mgombea ambaye ana exposure ya kimataifaa. Kama mke na watoto wake tu wapo Belgium. Bado hivyo vyama washirika.. Ni wazi ataalika obsever wa kimataifaa.

Kuja kushuhudia, Halafu kingine huyu Lissu Nusu mtu Nusu Chuma, wanamuita Chibaa The Radical and Activist Politician aliyenusurika kufa..Halafu kwa mara ya kwanza anashindana na mama kwenye box. Usidhani kama atashindaa lakini hapa siyo marekani CCM ni nomaaa.
USIMAMIZI TUNAUTOA BELGIUM HATUTAK WASTE MATERIAL ZAO NYAMBAFU
 
Haha kweli utakuwa mgumu lakini nami naona tofauti nawe, naiona CHADEMA in reigning position. Watanzania wanahitaji mabadiriko na mabadiriko ya uongozi yaliyoanzia ndani ya CHADEMA na mwamko wa watanzania juu ya siasa za hii nchi kuna jambo kubwa linaenda kutokea 2025
TUTAKUFA MNO TUMUOMBE MUNGU TU
 
Back
Top Bottom