Pre GE2025 Nina wasiwasi sana na uchaguzi wa Rais Oktoba 2025

Pre GE2025 Nina wasiwasi sana na uchaguzi wa Rais Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usijidanganye Uchaguzi mgumu kuwahi kutokea ulikuwa wa mwaka 1995(Dr Lyatonga vs Mkapa) na 2015(Dr JPM vs ENL) tu ,mingine yote FUTUHI.
Hapana mkuu. Ule uchaguzi haukuwa mgumu. Ni kwa baadhi ya maeneo tu. Nadhani 2015 unaweza kuchukuwa namba moja japo afya ya Lowassa ilifanya usiwe na msisimko sana.
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.

Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
Toka 2010 kwenye nafasi ya urais CCM haijawahi shinda
 
Marehemu shekhe yahaya alishatabili baada ya kifo cha Rais aliyopo madarakani atakuja Rais mwanamke atatawala awamu moja tu, baada ya hapo upinzani utashika nchi so si ndio sasa 2025 yani ni humu tu humu tu
Aisee I see this kwa mbaliiiii
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.

Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
Hakuna uchaguzi mgumu labda kama wewe ni mtoto sana!
 
CCM itabidi warudi kwenye drawing board.. watengeneze formula mpya.. hayo waliyofanya juzi dodoma.. hayakubaliki kwa wanachama wengi..ni kinyume na katiba yao..
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.

Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
Hakuna uchaguzi ambao ulikuwa mgumu kama ule wa 2015, huu wa 2025 sidhani kama utakuwa mgumu...
 
Back
Top Bottom