kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Usijidanganye Uchaguzi mgumu kuwahi kutokea ulikuwa wa mwaka 1995(Dr Lyatonga vs Mkapa) na 2015(Dr JPM vs ENL) tu ,mingine yote FUTUHI.Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.
Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
Majority ya hao wagombea ni washirikina sasa sijui wasali maombi yao wakipeleka wapi...Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.
Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
Haha kweli utakuwa mgumu lakini nami naona tofauti nawe, naiona CHADEMA in reigning position. Watanzania wanahitaji mabadiriko na mabadiriko ya uongozi yaliyoanzia ndani ya CHADEMA na mwamko wa watanzania juu ya siasa za hii nchi kuna jambo kubwa linaenda kutokea 2025Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.
Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
Sawa subiria mdaKwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.
Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
WAKIACHIWA WAPIGA KURA CCM HAISHINDI, HIVI UNAJUA KUWA HAWAPENDWI JAMANI TOKENI MTAANI HUKU JARIBUNI KUCHUNGUZA SIWATANIIKwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.
Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
KUNA MUDA NATAMANI NIWE BONGO LAKINI RAIS WANGU AWE TRUMP.Majority ya hao wagombea ni washirikina sasa sijui wasali maombi yao wakipeleka wapi...
Personally nimefurahi sana ujio wa Lissu the Great!...
CCM wana dharau sana...wamesababisha majitu yamekuwa machawa na mazezeta tu..specifically vijana..hayataki kufanya shughuli yoyote kazi ni kuramba viatu tu..generation ya kipuuzi sana...useless kabisa .
Nyie ni walewale. Mwenzenu anatekwa nyie mkiangalia.Labda washinde njaa.
Watanzania wa awamu hii hatutakuwa wajinga kama wale waliowazoea siku zote.
USIMAMIZI TUNAUTOA BELGIUM HATUTAK WASTE MATERIAL ZAO NYAMBAFUMimi ninachoona hapa upinzani wamepata mgombea ambaye ana exposure ya kimataifaa. Kama mke na watoto wake tu wapo Belgium. Bado hivyo vyama washirika.. Ni wazi ataalika obsever wa kimataifaa.
Kuja kushuhudia, Halafu kingine huyu Lissu Nusu mtu Nusu Chuma, wanamuita Chibaa The Radical and Activist Politician aliyenusurika kufa..Halafu kwa mara ya kwanza anashindana na mama kwenye box. Usidhani kama atashindaa lakini hapa siyo marekani CCM ni nomaaa.
TUTAKUFA MNO TUMUOMBE MUNGU TUHaha kweli utakuwa mgumu lakini nami naona tofauti nawe, naiona CHADEMA in reigning position. Watanzania wanahitaji mabadiriko na mabadiriko ya uongozi yaliyoanzia ndani ya CHADEMA na mwamko wa watanzania juu ya siasa za hii nchi kuna jambo kubwa linaenda kutokea 2025
Mgombea ambaye amekusanya watu 1900 Dodoma wiki nzima harafu akajiteua?Labda washinde njaa.
Watanzania wa awamu hii hatutakuwa wajinga kama wale waliowazoea siku zote.
Mambo hubadilika Mkuu, na watu pia huchoka.Nyie ni walewale. Mwenzenu anatekwa nyie mkiangalia.