Nina wasiwasi, waliotekwa wapo magerezani ila hawachangamani na WENZAo, Rais Samia amejuaje Gerezani Kuna uonevu?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu

Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani?

Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
 
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu

Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani?

Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
Shetani hana huruma kwa binadamu hata siku moja
 
Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu

Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani?

Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
Pata madaraka na pesa tukujue ulivyo, mkuu.

Yeye amepata vyote pesa, madaraka, dola, na kila kitu na sasa mnamjua alivyo.

Na kama humjui vumilia tu, muda utakutaarifu alivyo halisi.
Na 29/01/2026 ulimjua kidogo.
 
Back
Top Bottom