Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hii iwafikie wote wanajua haki za binadamu na uhuru binafsi katika kuishi maisha kwa raha bila kuvunja amani na usalama wa nchi na raia wake.
Katika hali ya kuwa vizuri kiakili, kiuchumi na kuwa baharia mpambanaji wa nguvu, napata kila kitu Kwa wakati na muda wote, najua kufanya kila aina ya kazi mfano kupika kila chakula, usafi wote, najua kupamba nyumba, najua kuchora maua, pia ni fashionist, najiweza kiuchumi kwa kadri ya bidii yangu, Nina watoto wanne na maisha yanaenda vizuri huko waliko na nawasomesha, napata maokoto kila siku na Nina jeuri ya kubadilisha maokoto daily sasa naoa ili iweje, sina muda wa kuishi na kupe napenda kuishi maisha marefu sitaki shobo za kuoa. I relate to people, am subject to validation, naenjoy, I link up well with social engagement especially responsibilities. Nalipa kila aina ya kodi ya JMT na nafurahia uzalendo wa kujenga nchi. Marriage is a failure ingredient to patriots and economic fighters
Nakaribisha ligi tubishane kwa hoja na hao mawakala wa ibilisi mufilisi. Kuoa ni meaningless there is nothing like profitable marriage in life.
shukrani 🙏🙏🙏
Wadiz a.k.a baharia wa jukwaa pendwa JF for real.