Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Naomba wadau na serikali tuanzishe teknolojia mpya ambayo itawezesha kupatikana kwa part time job .
Mfano Mimi ninaishi Mbagara kuanzia muda wa SAA mbili usiku nitakuwa na uhitaji wa Mwalimu wa history anifundishe topic ya colonial economy
Ninachofanya ninaingia mtandaoni katika hiyo App then nina request Mwalimu wa somo husika ambaye yupo eneo nililopo.
Mwalimu huyu akija ananifundisha muda wa masaa mawili then namlipa hela yake anaondoka.
I hope hii program itasaidia Sana kuondoa tatizo la Ajira kwa ukubwa Sana.
Wataalamu mnakaribishwa kuboresha hili wazo