Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Kwahy wale watu wa usafiri wa mtandao kama Uber, wachezaji pia nayo n slave trade?Slave trade,
Kama ni hivyo basi waajiriwa wote wa serikali na binafsi pia ni paid slaves kwahiyo slave trade itaendelea kuwepo tuSlave trade
Mkuu una wazo zuri sana, ila nilikuwa nashauri kuwa ungelitekeleza kwanza ndipo ukaleta kwa watu au ukalitambulisha kwa watu kuliko kuwa sa idea na usiifanyie kazi au ukawa umetoa idea bure akaja kuifanyia kazi mtu mwingine
hahaha hujanielewaKwahy wale watu wa usafiri wa mtandao kama Uber, wachezaji pia nayo n slave trade?
Nieleweshehahaha hujanielewa
Vizuri hapa naona idea yako inaelekea kwenye wajuzi wa mambo ya website designing ambapo kwenye hiyo website wenye kazi watazituma na wanaohitaji kazi wataingia kwenye website hiyo hiyo kucheki available jobsK
Wazo limeshasajiliwa Cosota mkuu
Kikubwa nahitaji man power kutoka kwa government na another stakeholders
kwenye hiyo thread kuna point jamaa kasema anataka mwalimu wa kumfundisha topic ya slave trade ndio nikainukuu,Nieleweshe
Vizuri hapa naona idea yako inaelekea kwenye wajuzi wa mambo ya website designing ambapo kwenye hiyo website wenye kazi watazituma na wanaohitaji kazi wataingia kwenye website hiyo hiyo kucheki available jobs
Yoooh bro
mambo ya ki upworks na fiver ama nn?
Kingine,
Kama unavyojua kuna watu wengi sana ambao hawana ajira kwa sasa alafu ikatokea mtu ame'upload 5 chances za part time job wakajitokeza zaidi ya hapo, unafikiri ni njia gani itatumika ili kuwapata wale exact idadi ya uliokuwa unawahitaji ndani ya muda muafaka?
Nchi ina watu wenye uelewa mdogo sanahahaha hujanielewa