Nina wazo hili, linaweza kutatua changamoto ya ajira kwa kiasi chake

History is a slave trade achana nayo kasome tu sayansi kwa dunia ya leo
 
Colonial economy itakusaidia nin katka ulimweng huu science and technology
 
mm nimekuelewa anataka ianzishwe platform ambayo itakua online itawakutanisha walimu na wanafunzi!!

Mwalimu akiwa free anajihold yupo..then mwanafunzi mwenye uitaji wa kufundishwa ana request mwalimu anaemtaka na somo husika na mda na eneo la kufundishwa..

NAdhan anamaanisha kila topic itakua na cost yake, subtopic itakua na cost zake,,na usafir..nadhan hii ya malipo kwa topic na subtopic ni Bora Zaid kuliko kulipa kwa masaa kama alivyosema..

👏👏Kaa na watu wa it vizur naona unawazo zuri ukikomaa kulitekeleza,,coz watoto wa kishua wapo wengi sana wanapenda huduma ziwafate walipo wao!!

Wazo lako likifanikiwa kwa kiasi kikubwa litaua vitution center vya mitaani...na walimu tatizo la ajira litakua solved.all the best
 
Utamlipa sh ngap uyo mwalimu kwa saa au mnunulie mwanao pc walimu awe anafundisha kwa zoom sasa safari kila muda mwilim wa watu apate ajali uko umwongezee shida tu, teknoljia itumike
 

Pia hii itakuwa hata ktk aina nyingine ya Kazi sio ualimu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…