Nina wazo la biashara japo la naliuza

Mkuu hiyo hela ni ndefu sana fanya hata kusi screenshot tuone hilo wazo likoje?
 
tupe izo screenshot sasa
Jaamaa namsiia asiache Kaz apige kotekote mkuu mzigo wa milion 2 utapiga faida ya laki nane bado bado hyo milion Mona ukiwekeza kweny item nyingine lazm kwa mwezi ukunye faida ya milioni Moja mzee Niko serious
 
Jaamaa namsiia asiache Kaz apige kotekote mkuu mzigo wa milion 2 utapiga faida ya laki nane bado bado hyo milion Mona ukiwekeza kweny item nyingine lazm kwa mwezi ukunye faida ya milioni Moja mzee Niko seriouai
aisee iyo faida ya laki nane naingiza kwa mdaa gani baada ya ku invest iyo 2m
 
Uko sahihi kamanda ila cha ajabu sasa hakuna wazo jipya dunian ila wachache ndio wanafanikiwa kwenye mawazo haya haya yasiyo mapya
Wazo langu siyo jipya na watu wanafaya sna mtaani na siyo wengi na hata wanaofanya hawezi kukuambia faida zake utabaki unaona mtu Ana gari kwa Kaz ya ajabu ajbu kumbe anazo code ambazo hawezi zitoa kuogopa kuigana hvyo watajazana na kuiganaa na Zaid sna wazO langu utafhanya Kaz na wachina ukiwa na pesa ndefu mchina Ana kuwachia uwe Kama dalali wake mnk item hyo haiuzwi tu kienyeji
 
Kuna mtu mwanajeshi alinifata akaniuliza hzo item mzigo unapataga wapi nikamuambia wewe letter pesa nikuelete mm vinginevyo huwezi pata kiarahisi ,

Nikamuambia ukitaka let laki mbiki nikupe mchongo uko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…