Nina wazo la biashara japo la naliuza

Nina wazo la biashara japo la naliuza

Ohoooo kumbe wazo! Ujinga mtupu na hata hujafanya biashara yenyewe utuoneshe mafanikio. Ndio maana matajiri wengi wapo kaburini
Acha tuwe makaburini ila hakuan Cha bure hapa " there is no free idea in USA " sitoi Hili wazo Hadi mtoe hela shinzi Sana mnapedna kuaftili umbea tu ila kununua wazo hamtaki hta kule Twitter nimeliuza Hili wazo hkn Cha bure
 
Hizi I'd mbili zinaupiga mwingi lazima tu Kuna kolo atapigwa nyundo.
 
Kwamba umekosa mtaji wa kulifanyia kazi hilo wazo lako?
Jaamaa namsiia asiache Kaz apige kotekote mkuu mzigo wa milion 2 utapiga faida ya laki nane bado bado hyo milion Mona ukiwekeza kweny item nyingine lazm kwa mwezi ukunye faida ya milioni Moja mzee Niko serious
 
Back
Top Bottom