Nina wazo la biashara japo la naliuza

Kwanini usifanye wewe Hilo wazo?
 
Hata Hili wazo lako la kuuza mawazo ya biashara nilikuuzia Mimi.
 
Kwanini wewe haufanyi upate pesa kama huyo mwalimu?
 
Laki mbili mkuu
Wewe tafuta ndugu Yako mwenye Hela mfanye au tafuta mtu muungane kwenye biashara mfanye wewe mtaji wako wazo lako yeye atoe mtaji hisa nusu Kwa nusu

Tanzania Kuna wajanja wengi Ukipata wazo zuri la kuingiza Hela tafuta mtu umjuaye vizuri.mfanye partnership usipopata Baki nalo.Kuna watu matajiri huchukua mawazo ya watu hufanyia kazi hata kuwapa Asante hata ya mdomo tu hamna
 
Huyu kakutana juzi na tajiri wa pembejeo, akadhihaki watu humu, kwamba matajiri wengi hawajasoma sisi tuliosoma sijui brabra bra.. sasa si aafate form four failures awape hili😂😂😂
 
Acha utapeli.
Kama wazo ni la maana na linatekelezeka, ungelitekeleza baada ya kulinunua.
Kwani wewe hutaki kuwa tajiri?

Lingekuwa la maana na una uhakika kuwa linalipa ungetafuta mtu mwenye mtaji mfanye partnership mgawane faida.

Umepigwa na wewe unataka uwapige.
Wajinga ndio waliwao.
 
Unatafuta laki 2 ya bure..sio kwa tanzania hii. Pole sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…