Nina wazo la biashara japo la naliuza

Nina wazo la biashara japo la naliuza

Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri

Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid sna Ni leseni yako tu itakuweka salama na mtaji wa angalau milion 3 na ukiwaa Zaid utapiga Zaid pesa

Biashara inafanywa na watu wasionna elimu kubwa San japo na nimechunguza nikabaini kahama na tabora utapiga peza za maana

Kama mtu Yuko interested aje dm tuyajenga

Kuna mwalimu mmoja nimempa hiyo dili Hadi leo ananishukuru Hadi anatamani kuacha Kaz ajikite Zaid kwenye biashara hyo

Niwaonye tu wazo la biashara hamuwezi kulipata humu kiarahisi rahisi na wafanya biashra wengi Ni wasiri sna usitegemee atakule gesha dili kiarahisirahisi
Kwanini usifanye wewe Hilo wazo?
 
Hata Hili wazo lako la kuuza mawazo ya biashara nilikuuzia Mimi.
 
Kwanini wewe haufanyi upate pesa kama huyo mwalimu?
 
Laki mbili mkuu
Wewe tafuta ndugu Yako mwenye Hela mfanye au tafuta mtu muungane kwenye biashara mfanye wewe mtaji wako wazo lako yeye atoe mtaji hisa nusu Kwa nusu

Tanzania Kuna wajanja wengi Ukipata wazo zuri la kuingiza Hela tafuta mtu umjuaye vizuri.mfanye partnership usipopata Baki nalo.Kuna watu matajiri huchukua mawazo ya watu hufanyia kazi hata kuwapa Asante hata ya mdomo tu hamna
 
Huyu kakutana juzi na tajiri wa pembejeo, akadhihaki watu humu, kwamba matajiri wengi hawajasoma sisi tuliosoma sijui brabra bra.. sasa si aafate form four failures awape hili😂😂😂
 
Yaani

Huo ujinga sifanyi katu yaani nikupe idea yangu nilitumia muda kuresearch alfu nikupe kirahisi never on the Earth nimetoa pesa nikapata pesa hakn aaliyenipa bure nimelinunua na .mm nauza kama hutaji basi nenda kauuze chipsi zege walio serious wakipita hatua kubwa
Acha utapeli.
Kama wazo ni la maana na linatekelezeka, ungelitekeleza baada ya kulinunua.
Kwani wewe hutaki kuwa tajiri?

Lingekuwa la maana na una uhakika kuwa linalipa ungetafuta mtu mwenye mtaji mfanye partnership mgawane faida.

Umepigwa na wewe unataka uwapige.
Wajinga ndio waliwao.
 
Yaani

Huo ujinga sifanyi katu yaani nikupe idea yangu nilitumia muda kuresearch alfu nikupe kirahisi never on the Earth nimetoa pesa nikapata pesa hakn aaliyenipa bure nimelinunua na .mm nauza kama hutaji basi nenda kauuze chipsi zege walio serious wakipita hatua kubwa
Unatafuta laki 2 ya bure..sio kwa tanzania hii. Pole sana .
 
Back
Top Bottom