Msimulie mkeo jinsi huyo mchepuko anavyokutesa, nakuapia hatakutesa Tena.
Utanishukuru.
Ramadan Kareem.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mimi ni MDADA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya mambo ya kupanic blaza bora hata umekuwa muelewa
Hutaki awe na jamaa mwingine...muoe basi awe mke wa piliKwahyo huyu mchepuko wangu ni dhahiri anazingua sio!!
You see alot of people apa wananiona mimi fala lakini trust me wengi wetu hapaa ambao tuna wake zetu hata ikatokea ukiwa na mchepuko hautotaka huyo mchepuko awe na anatiwa na masela wengine
Unapanik wakati nyapu ni yake. Kikubwa umeelezwa ukweli we endelea kula . Tena kula kwa tahadhari. Usije anza kulia ukinyimwa kisa kuchunguza sana.
Ata yeye anatamani kutombw* kila siku na wewe huko na mke afanyeje
Ukiona hivyo ujue siku zako za kuishi zinahesabikaHivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana.
Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa.
Huyu mchepuko kakubaliana na hali halisi kuwa mimi nina familia yangu, na kwasababu hiyo basi na yeye ana mahusiano yake(ana mabwana zake).
Sasa ugomvi unaotokana na wivu unatokea pale mchepuko wangu nikagundua kaenda kwa hao mabwana zake kwakweli najisiki kuchanganyikiwa na navurugwa kiasi kwamba nahamishia ugomvi kwa wife na watoto, mara nyingine akainikasirisha jnakuta mke wangu ananiuliza nina shida gani lakini kwakuwa siwezi kuelezea kuwa tatizo ni mchepuko basi namuwashia hasira na yeye.
Huyi mchepuko nishamuomba aachane na hao mabwana zake hataki kabisa kusikia ananiambia mimi na yeye tunafanya for Fun sasa hawezi kuwa na mahusiano seriously na mimi kwasababu nina mke tayari.
Na akienda kwa mabwana zake huwa haniambii kwahyo nabaki hohehahe simu hapokei msgs hajibu, kwakweli nimechangangikiwa kabisa
Naombeni ushauri wenu wadau
Umemalizaaa.Mpandishe cheo awe mke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheheheheheeeee..halooooooo!!!
Wazee wa "one man down mnaitwa huku"....Kuna mtu kinamkuta kitu..hahahahaha
Don't take JF comments too serious mkuu utapata preshaSiku za wanadamu wote hapa duniani zinahesabika hakuna anaeishi milele. Dont take urself a holly person kila mtu ana mauchafu yake anayoyafanya usijitie mungu mtu
Wewe na huyo bidada mna mipango yoyote? Kama ni kutafunana tu muache awe na jamaa mwingne na kama ni muislamu oa awe bi mdogo mana kumuacha huwezi.Afadhali hata mdada umekoment, wewe kwa hii situation unaionaje!? Put urself in my shoes…..what actions should i take!?
Tena uwaambie ukweli, hapa wanajifanya wanaume wa shoka, ila huko nje sasa wanapigwa na mapenzi hadi wanakua makerubi. Unafiki tyuuh umewajaa bora wee umeweka wazi hapa.Sawa endeleeni kunitukana na kuniona mimi mjinga,
Nina uhakika wanaume wengi wanapatwa na hii hali sipo peke yangu.
Na nyie mnaosema kuwa ukimwi hauwezi isha kwa style hii kafieni mbele sijaja kuomba ushauri wa afya hapa mimi
Kabla hujaleta bandiko JF unatakiwa kujiweka tayari kwa lolote [emoji23] poleMi nishapanic aisee afu mnazidi kunipanikisha
Ndo inavyokuwaKinachosikitisha ni kuwa inawezekana mke katulia anakuja kuletewa magongwa na mtu asiyeheshimu zipu ya suruali yake!!!!!
Kwan unajua/utajua bas? Wee kaa kwa kutulia tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ana mabwana zake?Na umekubaliana tu na hali?Katika binadamu wachoyo ni mimi.Sichangii mwanamke na mtu.
Triangle a.k.a tatu chafu...Ukimwi hauji kuisha aisee...mmeiona hiyo Pentagon wakuu?