Nina wivu na mchepuko

Usimhudumie akikuomba hela mwambie akaombe kwa mabwana zake, wanaume huwa hatususi papuchi kwa vile kaamua kutumika basi mtumie tu
 
Be a man!! Mwanaume huwa hamfatifati mwanamke ila mwache mwanamke akufate yeye!! Hiyo ndio principle ya uwanaume. Ikiwa anaona una umuhimu kwake hawezi kupitisha siku au masaa bila ya kutaka kujua uwepo wako kwake ila ukiona anakukaushia hata 3 days na wewe kula bati usimtafute wala usimpigie simu.Endelea na hustle zako!! Akikutafuta mpokelee simu kisha mwambie upo busy kidogo then kata simu.Usimtafute
Fact sana man, i will take this advice as my therapy,
 
Inamaana haumtimizii eeeh??

Inakuwaje unamruhusu akaliwe nje nawe upo??

Kashakudharau yaani,inakuwaje mwanaume unajua kabisa demu yako inaliwa na masela huko nje!!!!

All the aii una moyo wa chuma
 
Mmmh! Atauweza kweli huu ushauri mana jamaa anaonekana kakolea haswa
 
Kumbe,,kama hivyo atulie eletewe magonjwa

Angekuwa anamuhudumia angeheshimika
 
Tena uwaambie ukweli, hapa wanajifanya wanaume wa shoka, ila huko nje sasa wanapigwa na mapenzi hadi wanakua makerubi. Unafiki tyuuh umewajaa bora wee umeweka wazi hapa.
@cocastic Wauweeeeeeeeeeeh
 
Umeona seen


Angekuwa anahudumia ipasavyo wala asingeteseka,

Labda hapo bi dada alimwambia bwana kama hauwezi nihudumia niache niendelee na wanaonihudumia[emoji2442]
 
Umeona seen


Angekuwa anahudumia ipasavyo wala asingeteseka,

Labda hapo bi dada alimwambia bwana kama hauwezi nihudumia niache niendelee na wanaonihudumia[emoji2442]
Akienda kwa bwana mwingine na simu hapokei[emoji23] ndio mana mtoa mada kachizika.

Huduma nazo ukute kweli hatoi, dada kaona isiwe tabu na hivi jamaa ana mke tayar wacha aangalie ustaarabu mwingine
 
Mambo mengine ni ya kuachana nayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…