Ninaamini asilimia 80% ya watu duniani wanafurahi Israel inaposhambuliwa

Ninaamini asilimia 80% ya watu duniani wanafurahi Israel inaposhambuliwa

Tatzo la bongo,
Mihemko mingi inaendeshwa na udini.
Jana watumishi wengi tu wa kikristo Palestina walikua Barabarani wanafurahia

Udini upo kwa Wakristo wa Africa, Wahindu na Wakristo wa Usa, otherwise Wakristo wa South America, Middle East, Ulaya Majority, Asia etc wengi wapo Against.
 
Unadhani ni kwanini Muite ?
Hulka ya Mwanadamu huwa anachukia Mtu mwenye maguvu anayeonea wanyonge, ndio maana mnyonge anapoamua kupambana wengi watamuunga mkono hata kimoyomoyo . Mfano siku itokee Marekani kuanguka iwe kwa kupigana au kuwa janga la asili kama tetemeko au gharika UNAFIKIRI KUNA ATAKAYEMUONEA HURUMA. Na yote hii ni kwasababu watu wengi hawapendezwi na UBABE , UONEVU NA KIBURI CHA MAREKANI
 
Jibu Kuntu hili.

Ahsante kwa hili na baraka za muumba zikufikie.

🙏🏿
 
Serikali nyingi duniani haziwezi kuonyesha waziwazi support yao kwa kuwahofia wakubwa wa Ulaya na Marekani
Huyo lazima ashambuliwe na mmarekani....Israel anapewa support na nchi za ukanda wa nchi za socialism kama Russia..hapo ndo panapozd kuongeza machochezi ya kupigna
 
Ukiingia mtandao wa X utajionea watu wengi mno wakiisupport Israeli na wako pamoja nao.

Na nimestaajabika kuona wengi ni watu wa Bara la Asia.
 
South America by Majority ni pro Palestine, Kuna Population ndogo Right wing mostly watakuwa Israel (Right wing wa zamani wa Ulaya yakiwemo makundi ya kina Hitler).

Nchi kama Argentina sawa pengine nusu ya Population ikawa pro Israel sababu hao wana ushenz wao inajulikana.

Ila nchi kama Brazil, Mexico, Colombia, Chile, Venezuela, El Salvador huko by Far ni pro Palestine.

Hata ukiangalia haya mapambano maraisi wao ndio wanayongoza
 
Sema wafuasi wa allah na shoga yake marehemu muhammad ndio wanafurahi bila kujua wiki ijayo viongozi wao wanaanza kuchezea risasi za tako.

.
Akifa kiongozi mmoja wapo 10 kuchukua nafasi hiyo. Aluta kontinua. No retreat no surrender mpaka kieleweke

Huko Tel Aviv leo kuna vikao vya mazishi tehehe
 
Back
Top Bottom