Rais ni Taasisi, Sasa Hapa Tz rais ni mtu ambaye anajua kila kitu
- mwanasheria
- mhandisi wa mitambo, umeme, ujenzi na nk
-astronomy
- mchumi
- mpiga mbizi
-mwanamuziki
-dancer
- mwanamieleka
-mwana Kung Fu na n.k
Je, kuna nchi yoyote ambayo mefunga ofisi za ubalozi wake hapa nchini tofauti na sababu za COVID - 19?
Je, kuna nchi yoyote kwenye huu uso wa dunia ambayo imemfungashia vilago balozi wa Tz arudi nyumbani ndani ya muda mfupikwa sababu a kidiplomasia?
Kama majawabu ni hapana; basi uongozi ni kipaji siyo taaluma. Mfano mzuri ni Comrade Mbowe ambavyo anakiongoza chama chake bila digrii ya uchumi wala sheria ama mahusiano ya kimataifa.