Ninaamini katika hizi tu ili mtu aweze kuongoza nafasi ya juu kabisa ya madaraka ya nchi lazima awe amesoma walau taaluma moja kati ya hizi

Ninaamini katika hizi tu ili mtu aweze kuongoza nafasi ya juu kabisa ya madaraka ya nchi lazima awe amesoma walau taaluma moja kati ya hizi

Tanzania tunabahati ya kuongozwa na waalimu halafu nyongeza yake uwe na jina la Mwisho lenye M au hata uwe na moja ya majina yenye K . Haha.
Kikwete - Mjeda
Mkapa - Mwanahabari/mwandishi
 
Taaluma inamata mkuu, tumeona namna ambayo sheria zimepuuzwa, uchumi umegeuka siasa na mahusiano na jummuia ya kimataifa yamepuuzwa.
Je, kuna nchi yoyote ambayo mefunga ofisi za ubalozi wake hapa nchini tofauti na sababu za COVID - 19?
Je, kuna nchi yoyote kwenye huu uso wa dunia ambayo imemfungashia vilago balozi wa Tz arudi nyumbani ndani ya muda mfupikwa sababu a kidiplomasia?
Kama majawabu ni hapana; basi uongozi ni kipaji siyo taaluma. Mfano mzuri ni Comrade Mbowe ambavyo anakiongoza chama chake bila digrii ya uchumi wala sheria ama mahusiano ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom