Kikwete - MjedaTanzania tunabahati ya kuongozwa na waalimu halafu nyongeza yake uwe na jina la Mwisho lenye M au hata uwe na moja ya majina yenye K . Haha.
Mkapa - Mwanahabari/mwandishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete - MjedaTanzania tunabahati ya kuongozwa na waalimu halafu nyongeza yake uwe na jina la Mwisho lenye M au hata uwe na moja ya majina yenye K . Haha.
Rais ni Taasisi, Sasa Hapa Tz rais ni mtu ambaye anajua kila kitu
- mwanasheria
- mhandisi wa mitambo, umeme, ujenzi na nk
-astronomy
- mchumi
- mpiga mbizi
-mwanamuziki
-dancer
- mwanamieleka
-mwana Kung Fu na n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikwete - Mjeda
Mkapa - Mwanahabari/mwandishi
[/QUOTE
Kikwete ana taaluma take tofauti na hayo mafunzo ya kijeshi.
Je, kuna nchi yoyote ambayo mefunga ofisi za ubalozi wake hapa nchini tofauti na sababu za COVID - 19?Taaluma inamata mkuu, tumeona namna ambayo sheria zimepuuzwa, uchumi umegeuka siasa na mahusiano na jummuia ya kimataifa yamepuuzwa.
Mkumbusheni jamaa na Samuel DoeNa wewe jiulize aliipeleka. Wapi Uganda?
Mwisho wake ulikuwa nini???
Alikuwa na faida gani kwa uchumi wa Uganda??
Alifia wapi na alizikwa wapi??? Ahaaa 😂😂🤣🤣🤣
Ahaaa aliyekatwa masikioMkumbusheni jamaa na Samuel Doe