Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Hata zinazoitwa dini zao ni zao la Wazungu,huu ni u mbumbumbu.Mbona machanjo wanayopewa watoto wenu baada ya kuzaliwa hamyakatai?! Maafrka majinga sana, asilimia 99 ya dawa na chanjo zimeletwa na wazungu na yanatumia. Eti leo yanagomea chanjo ya korona! Maajabu.
Ugonjwa tayari tengeneza dawa huwezi,Ila unataka kuambukiza wenzako kwa vile hutak dawa za bure?
Madawa tunatumia karibu yote ni wazungu na hadi mitumba sasa wakitaka kuweka silaha za kibaolojia mbona simple Sana?
Shukuru tunaish ulimwengu wa wazungu wastaarabu ingekuwa Karne za mwanzo watu wasingeongea huu upupu.