Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Hata zinazoitwa dini zao ni zao la Wazungu,huu ni u mbumbumbu.Mbona machanjo wanayopewa watoto wenu baada ya kuzaliwa hamyakatai?! Maafrka majinga sana, asilimia 99 ya dawa na chanjo zimeletwa na wazungu na yanatumia. Eti leo yanagomea chanjo ya korona! Maajabu.
Hii korona kuja kuisha lazima tu kila raia awe mtaalamu wa fildi ya afya na utabibu. Mark my words!!! 🙂Kama chanjo kazi yake kubwa ni kuboost immunity. Je hakuna njia mbadala ya ku boost immunity zetu? Hasa Kwa sisi tunaoishi Africa sababu natural food inapatikana Kwa wingi . Je nutritionist hawana elimu ya combination yoyote ya natural herbs and food inaweza ku boost immunity?
So chanjo it’s all about immunity nothing else?
Let’s google only for one day to check on how we can boost immunity naturally with plants.
I think you're either unsure of what you are talking about, ama umeamua kuwa sincerely ignorant. Chanjo is supposed to prevent you from contracting a specific infection, right!???. Apply that definition to the so-called corona vaccines, and you will be surprised!!!Kufunga mkanda kwenye gari hakuzuii ajali bali kupunguza madhara baada ya ajali kutokea,the same to tohara ,chanjo sio condom