Ninachokutana nacho kila nikijaribu kuingia kwenye mahusiano kinanifanya nahofia huenda nikabaki single hadi muda wa ndoa

Yani dogo unaogopa trailer wakati movie bado kbs haijaanza hahahahaha, huku kwenye ulingo wa mapenzi dangote mwenyewe anapumulia gas, au hukuona Mengi kilichomkuta? Vipi kwa wasanii wenye pesa ni yupi unamuona anafuraha na sio maigizo?

Hao unaowaona wana wapenzi sio kama wanafurahia sana hayo mahusiano bali wanavumiliana sana na siku akichoka mmoja na biashara inaishia hapo.
 
Oyaa chalii ulisaidika? Kama bado,ishi na hizi dondoo.

Nahisi una mahusiano mabovu na wewe mwenyewe,kisaikolojia na kimwili. Ji upgrade: masomo uwe una score vizuri, fanya mazoezi, kuwa msafi, jipende, shirikiana na wenzako katika mambo ya msingi.

Hii itafanya ujiskie vizuri na kujiamini. Hapo utakuwa umeboresha mahusiano ya wewe mwenyewe, na hata BAADHI ya wanawake watakupenda wenyewe japo kwa muda mfupi na wakiona una future wanaweza kuwa wavumilivu,japo utakuwa unaibiwa ibiwa.

Note: Mwanamke wa miaka 22,inategemea na mwili kama kajengeka vizuri,huyo sio saizi yako,ila unaweza kumuotea, kama kaka zako hatujaanza kumdanganya danganya na starehe za reja reja.
 
Rudisha hiyo simu kwa wazaz na tabia ya umalaya uiache kwanzia leo
 
jibu ni fupi na rahisi,hujampata wako haswaaa,endelea kumtafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mademu wapo wengi tu, tafuta wa status yako hata mke wa mtu utampata usilazimishe mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…