Ndo hapo sasa, halafu wengine hatubishanagi sana na watoto, akikujibu nyokonyoko unaachana nae tu.mtu anauliza vizuri anataka akusaidie wewe unajibu pumba shenz kbs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hapo sasa, halafu wengine hatubishanagi sana na watoto, akikujibu nyokonyoko unaachana nae tu.mtu anauliza vizuri anataka akusaidie wewe unajibu pumba shenz kbs
sawa, mkuu ila ungeshauri tu anywaySasa nikikushauri vilivyokomaa utaelewa kweli, maana akili yako haijafikia hicho kiwango cha kuyabeba, tunatoa ushauri kulingana na dozi ya akili yako.
Kua kwanza, ili hata siku tukikwambia vitu vizito uweze kuelewa.sawa, mkuu ila ungeshauri tu anyway
kukuwa kimwili labda, ila ubongo wa mwanadamu unastop kukua baada ya 18 yrs, at twenty hakuna ukuaji wowote ila kuna development. Pengine unanizidi uzoefu wa maisha ndiyo maana nikaomba ushauri.Kua kwanza, ili hata siku tukikwambia vitu vizito uweze kuelewa.
Hata kimwili Bado hujakua mpaka mwisho, miaka 22 bado.kukuwa kimwili labda, ila ubongo wa mwanadamu unastop kukua baada ya 18 yrs, at twenty hakuna ukuaji wowote ila kuna development. Pengine unanizidi uzoefu wa maisha ndiyo maana nikaomba ushauri.
Unaushauri nyoo.....koi sanaUmri huo wenzio wasio na pesa wanapiga nyeto
We unayataka mapenzi ya nini? Utakufa shaurizo
Rudisha hiyo simu kwa wazaz na tabia ya umalaya uiache kwanzia leoNaombeni ushauri wakuu.
Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii.
👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status), yaani ana pesa na umri kunizidi jambo linalopelekea mimi kupuuzwa hata baada ya kumtongoza hivyo kuishia kunyong'onyea tu.
Wakuu kama pesa ni case mbona kuna washikaji zangu hawana pesa na wako kwenye mahusiano? What went wrong with me?
Sawa nitafute hela hadi lini? Hata nikizipata bado kuna watu watakuwa wananizidi tu, labda niwe tajiri wa kwanza duniani.
Hapa nawaza labda mimi niishi maisha ya kutowaza mahusiano hadi pale nitakapooa, tena niende vijijini huko ndanindani ndio nioe.
Au wakuu mnanishaurije, ushauri wenu ndiyo hatima ya mimi na mapenzi (age 22).
Asanteni.
jibu ni fupi na rahisi,hujampata wako haswaaa,endelea kumtafutaNaombeni ushauri wakuu.
Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii.
[emoji117]Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status), yaani ana pesa na umri kunizidi jambo linalopelekea mimi kupuuzwa hata baada ya kumtongoza hivyo kuishia kunyong'onyea tu.
Wakuu kama pesa ni case mbona kuna washikaji zangu hawana pesa na wako kwenye mahusiano? What went wrong with me?
Sawa nitafute hela hadi lini? Hata nikizipata bado kuna watu watakuwa wananizidi tu, labda niwe tajiri wa kwanza duniani.
Hapa nawaza labda mimi niishi maisha ya kutowaza mahusiano hadi pale nitakapooa, tena niende vijijini huko ndanindani ndio nioe.
Au wakuu mnanishaurije, ushauri wenu ndiyo hatima ya mimi na mapenzi (age 22).
Asanteni.
Mademu wapo wengi tu, tafuta wa status yako hata mke wa mtu utampata usilazimishe mapenzi.Naombeni ushauri wakuu.
Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii.
👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status), yaani ana pesa na umri kunizidi jambo linalopelekea mimi kupuuzwa hata baada ya kumtongoza hivyo kuishia kunyong'onyea tu.
Wakuu kama pesa ni case mbona kuna washikaji zangu hawana pesa na wako kwenye mahusiano? What went wrong with me?
Sawa nitafute hela hadi lini? Hata nikizipata bado kuna watu watakuwa wananizidi tu, labda niwe tajiri wa kwanza duniani.
Hapa nawaza labda mimi niishi maisha ya kutowaza mahusiano hadi pale nitakapooa, tena niende vijijini huko ndanindani ndio nioe.
Au wakuu mnanishaurije, ushauri wenu ndiyo hatima ya mimi na mapenzi (age 22).
Asanteni.
[emoji23]Rudisha hiyo simu kwa wazaz na tabia ya umalaya uiache kwanzia leo