Wamepewa ulinzi wa tz tuna amani tele wacha tule zetu ugali na chainizi 😁😁😁😃😀😎😎😎Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan.
Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi.
Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha zote kabisa walizo nazo tupo nyuma sana ndugu zangu.
Tusijiongopee wakuu tumeachwa mbali sana hizi silaha tulizo nazo kwetu sijui hawa mabwana wameziacha store maana hapa sioni huu uchafu wetu naona vitu vizito vizito mpaka inatisha siku tukianzisha ka vita ka kirafiki sisi na wao maana kamanda wetu mmoja wa JW alisema sisi ni jeshi la sita kwa ubora😁
Idadi ya Wachina ni mara mbili ya Waafrika wote.Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan.
Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi.
Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha zote kabisa walizo nazo tupo nyuma sana ndugu zangu.
Tusijiongopee wakuu tumeachwa mbali sana hizi silaha tulizo nazo kwetu sijui hawa mabwana wameziacha store maana hapa sioni huu uchafu wetu naona vitu vizito vizito mpaka inatisha siku tukianzisha ka vita ka kirafiki sisi na wao maana kamanda wetu mmoja wa JW alisema sisi ni jeshi la sita kwa ubora😁
Hata kama mbona wahindi wana idadi kubwa hawajaendelea kama wachina...Idadi ya Wachina ni sawa na Waafrika wote.
Inasikitisha kwa kweli mkuu WWII huyu mchina alikuwa backward kinoma na vita vita zisizo kwisha nchini kwake ila leo hii anaonesha vyuma vya maana sisi tunaendekeza siasa za maji taka mpaka majeshiniTumeacha wanasiasa waendeshe kila kitu badala ya kuthamini sayansi na tafiti
Vipi aliyofanya trump mwaka huu?Marekani haijawahi fanya military parade hata siku moja Silaha zao siri
Marekani haijawahi fanya military parade hata siku moja Silaha zao siri
Mwaka huu kafanya by the way hakuna siri kwenye silaha nyingi labda baadhi latest marekani ana namna yake na yeye ya ku showoffMarekani haijawahi fanya military parade hata siku moja Silaha zao siri
Ma allien waje tu angalau tuwe na tishio common, haiwezekani binadamu akaunda madude yote kwa ajili ya binadamu.Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan.
Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi.
Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha zote kabisa walizo nazo tupo nyuma sana ndugu zangu.
Tusijiongopee wakuu tumeachwa mbali sana hizi silaha tulizo nazo kwetu sijui hawa mabwana wameziacha store maana hapa sioni huu uchafu wetu naona vitu vizito vizito mpaka inatisha siku tukianzisha ka vita ka kirafiki sisi na wao maana kamanda wetu mmoja wa JW alisema sisi ni jeshi la sita kwa ubora😁
Ukitazama kwenye documentaries silaha walizokuwa wakitumia wachina wakati wanapambana na Japan na vita vya wenyewe kwa wenyewe ni magobore ya ajabu ajabu hata airforce walikuwa hawana wala jeshi la wana maji linalo jitambua ila leo wanaonesha vyuma vizito hapa.
Sisi bado tumejaza magobore
Dunia iko kazi sana. Kwenye vita ya iraq tulikuwa tunashangaa drones za marekani na mandege tu. Sasa mpaka iran na uturuki wanayafyatua tu. Ukraine vile vidogo vinaundwa hadi homeSijalinganisha nimesema tupo nyuma mkuu na kweli nacho ona hapa ukitazama na parade zetu inasikitisha kwa kweli
Ni kweli miaka ya 60s na userious kabisa ni miaka ya 80s mpaka 2000s fulani hivi baada ya kuamua ku modernize jeshi laoNimeona Hadi mbwa wakiroboti.
Ila china bhana nasikia Gwanzuu ilikuwa kama DSM tu miaka ya 90 kurudi nyuma.
Haya maendeleo yameanza sisi tukiwa tayari tunauhuru.
Uncle Sam hatabiriki lazima ukae sawa. Maana hukawii kusikia anatishia American interests na kama hauko poa kesho hawa hapa mlangoni.Ma allien waje tu angalau tuwe na tishio common, haiwezekani binadamu akaunda madude yote kwa ajili ya binadamu.