Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

Hakuna sehemu niliposema vipaumbele vyetu vifanane na vy nchi nyingine. Nnilichosema ni kwamba dunia iko kasi sana.
Rejea ulichosema :"........hatuna mpango mkakata wa nchi ila tuna mipango mkakati wa kukaa madarakani kwa kipindi tunachokihitaji kwa manufaa binafsi. Hatuna mpango kama Nchi nini kifanyike na kiwe na faida hata kwakizazi kijacho tunajifikiri kushiba kwetu tu. ....."
Kwa mukhtadha wa uzi huu ni kwamba unalinganisha maendeleo ya Tz kisilaha vs China au
 
Video Editor kwenye hizo helikopta zinazopaa toeni benedera za China wekeni za CCM alafu iandikwe mitano tena...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom