Ninafuraha sana gari imepona

Ninafuraha sana gari imepona

Ni kwel kaka, mi mwenyewe nimeshashuhudia sana watu wakinunulishwa spare parts kumbe tatizo nilingine kabisa, kiufupi huwa kaz kwa kuhic hic tu, mi mwenyewe nina toyota allex nikiwasha inatoa kelele fulani hv kama ya kunok halafu inaacha bac nimehangaika mpaka bass kila funɗ anakuambia nunua hiki lakin hakuna kitu.
Peleka kwa wataalam hilo lutaisha tu. Vip walisha angalia mfumo wa starter maana hiyo kazi yake ni kuwasha gari na kutoka inabaki off.
 
Likiwa bovu ndio unauza mkuu? Ulitaka 'kumshikisha' mtu?
Kuna wengine ndio wanapenda vya bei chee kwakuwa wanajua wakatengeneze wapi na wapige vipi.
Kuna wengine hununua magari ambayo yamepata ajali unasemaje na hili.
By the way leo nina furaha sana. Yaani gari inafunguka kuliko hata nilivyoinunua aisee. Maana nilivyokuwa naibadilishia vitu kama oil, plugs, kusafisha filter ndio nikawa naitibu hivyo sasa baada ya kurekebisha hilo acha kabisa. Maana sasa hivi mlimani na overtake kama nateleza vile.
 
Habari. Napenda kushare uzoefu hapa kidogo nina gari ndogo ambayo ni VOLTZ na nimekuwa nayo sasa kwa takriban 3yrs. Miezi kama 10 iliyopita nilianza kuona gari inakosa nguvu kwa mbali. Baadae nikawa naona maybe gari yangu ndivyo ilivyo. Kadiri siku zikivyozidi kwenda mbele gari ikazidi kukosa nguvu nikafikia hatua mlima siwezi kupanda na nikipanda ni kwa tabu sana. Baadhi ya mafundi wakaniambia ni Transmission fluid ibadilishwe na baada ya kubadikisha bado tatizo likawa palepale. Nikaenda kwa mwingine akasema hapa tatizo ni transmission fluid filter ni chafu isafishwe baada ya kufanya hivyo tatizo likawa bado. Fundi mwingine akaniambia tatizo ni plugs maana tangu ninunue plugs sijawahi badilisha. Baada ya kubadili tatizo likawa palepale. Sasa jana nikapeleka sehemu ambayo wanabei kidogo gari ilifanyiwa diagnosis na kugundua kwamba tatizo likikuwa kwenye pump na fuel return valve. Baada ya kurekebishwa gari imekuwa na nguvu kuliko hata nilivyoinunua. Kiukweli nina furaha sana maana nilikuwa nawaza kuiuza na sasa nimefuta wazo hilo maana ningeuza ningepata hasara kubwa sana.
Karibuni.
Pole na Hongera sana. Voltz ni gari ngumu sana, wanaiita roho ya paka. Ila kama vipi ongeza few years uitoe maana zina shidaa ya spare sana zikipata shida kubwa sana. Mf vifaa wakati gari imepata ajali kubwa.
 
Hapo ni kweli. Kwa vifaa vya nje ni shida sana.
 
Kuna wengine ndio wanapenda vya bei chee kwakuwa wanajua wakatengeneze wapi na wapige vipi.
Kuna wengine hununua magari ambayo yamepata ajali unasemaje na hili.
By the way leo nina furaha sana. Yaani gari inafunguka kuliko hata nilivyoinunua aisee. Maana nilivyokuwa naibadilishia vitu kama oil, plugs, kusafisha filter ndio nikawa naitibu hivyo sasa baada ya kurekebisha hilo acha kabisa. Maana sasa hivi mlimani na overtake kama nateleza vile.

Mkuu mbona hutaki kusema wapi ulifanya hiyo spot diagnosis ya gari lako?
 
Pole na Hongera sana. Voltz ni gari ngumu sana, wanaiita roho ya paka. Ila kama vipi ongeza few years uitoe maana zina shidaa ya spare sana zikipata shida kubwa sana. Mf vifaa wakati gari imepata ajali kubwa.
Nilinunua taa kubwa moja ya mbele kwa milioni moja na laki mbili nilichoka kabisa.
 
Huu ndio ukweli mchungu. "Sometimes i wish i could be a fundi", ningetumia akili na si msuli.
Hahahaaaaaaaa.......wanaharibu magar ya watu zen wanaishia kusema gari fulan injin yake mbovu sana haitengenezeki...kumbe wao ndo hawajui namna ya kuitibu, bongo bana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom