Wap mkuuPeleka Kwenye diagnosis mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wap mkuuPeleka Kwenye diagnosis mkuu
Hahaha Lina nguvu ya dume condom... Gari hizo za kitambo Renault gear kifimbo kilichokunjwa Mambo ya Mfaransa hayo miaka yetuHili langu lina nguvu imara zaidi..[emoji23]View attachment 1175394
Huu ndio ukweli mchungu. "Sometimes i wish i could be a fundi", ningetumia akili na si msuli.Wengi wa mafundi bongo wapiga ramli tu..ukiwa serious peleka gari yako centres zenye akili
Lakwake hilihapa analiuzaView attachment 1175440
Peleka kwa wataalam hilo lutaisha tu. Vip walisha angalia mfumo wa starter maana hiyo kazi yake ni kuwasha gari na kutoka inabaki off.Ni kwel kaka, mi mwenyewe nimeshashuhudia sana watu wakinunulishwa spare parts kumbe tatizo nilingine kabisa, kiufupi huwa kaz kwa kuhic hic tu, mi mwenyewe nina toyota allex nikiwasha inatoa kelele fulani hv kama ya kunok halafu inaacha bac nimehangaika mpaka bass kila funɗ anakuambia nunua hiki lakin hakuna kitu.
Kuna wengine ndio wanapenda vya bei chee kwakuwa wanajua wakatengeneze wapi na wapige vipi.Likiwa bovu ndio unauza mkuu? Ulitaka 'kumshikisha' mtu?
Mkuu nenda kadai plugs zako zilizokuja na hiyo gari kwa hao wahuni.Fundi mwingine akaniambia tatizo ni plugs maana tangu ninunue plugs sijawahi badilisha.
Karibuni.
Ivi mtu akisema wengi kamaanisha wote yaan 100%Wapo mafundi wengi tu mtaani na ni wazuri
Pole na Hongera sana. Voltz ni gari ngumu sana, wanaiita roho ya paka. Ila kama vipi ongeza few years uitoe maana zina shidaa ya spare sana zikipata shida kubwa sana. Mf vifaa wakati gari imepata ajali kubwa.Habari. Napenda kushare uzoefu hapa kidogo nina gari ndogo ambayo ni VOLTZ na nimekuwa nayo sasa kwa takriban 3yrs. Miezi kama 10 iliyopita nilianza kuona gari inakosa nguvu kwa mbali. Baadae nikawa naona maybe gari yangu ndivyo ilivyo. Kadiri siku zikivyozidi kwenda mbele gari ikazidi kukosa nguvu nikafikia hatua mlima siwezi kupanda na nikipanda ni kwa tabu sana. Baadhi ya mafundi wakaniambia ni Transmission fluid ibadilishwe na baada ya kubadikisha bado tatizo likawa palepale. Nikaenda kwa mwingine akasema hapa tatizo ni transmission fluid filter ni chafu isafishwe baada ya kufanya hivyo tatizo likawa bado. Fundi mwingine akaniambia tatizo ni plugs maana tangu ninunue plugs sijawahi badilisha. Baada ya kubadili tatizo likawa palepale. Sasa jana nikapeleka sehemu ambayo wanabei kidogo gari ilifanyiwa diagnosis na kugundua kwamba tatizo likikuwa kwenye pump na fuel return valve. Baada ya kurekebishwa gari imekuwa na nguvu kuliko hata nilivyoinunua. Kiukweli nina furaha sana maana nilikuwa nawaza kuiuza na sasa nimefuta wazo hilo maana ningeuza ningepata hasara kubwa sana.
Karibuni.
Ivi mtu akisema wengi kamaanisha wote yaan 100%
Lugha haipandi.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hapo ni kweli. Kwa vifaa vya nje ni shida sana.Pole na Hongera sana. Voltz ni gari ngumu sana, wanaiita roho ya paka. Ila kama vipi ongeza few years uitoe maana zina shidaa ya spare sana zikipata shida kubwa sana. Mf vifaa wakati gari imepata ajali kubwa.
Kuna wengine ndio wanapenda vya bei chee kwakuwa wanajua wakatengeneze wapi na wapige vipi.
Kuna wengine hununua magari ambayo yamepata ajali unasemaje na hili.
By the way leo nina furaha sana. Yaani gari inafunguka kuliko hata nilivyoinunua aisee. Maana nilivyokuwa naibadilishia vitu kama oil, plugs, kusafisha filter ndio nikawa naitibu hivyo sasa baada ya kurekebisha hilo acha kabisa. Maana sasa hivi mlimani na overtake kama nateleza vile.
Acha uongo mi mbona naitumia!Kadiri technology inavyozidi mbele itafika kipindi hawa mafundi wetu wa mtaani watapotea kama vile TV za chogo
Nikisema itaonekana natangaza biashara
Nilinunua taa kubwa moja ya mbele kwa milioni moja na laki mbili nilichoka kabisa.Pole na Hongera sana. Voltz ni gari ngumu sana, wanaiita roho ya paka. Ila kama vipi ongeza few years uitoe maana zina shidaa ya spare sana zikipata shida kubwa sana. Mf vifaa wakati gari imepata ajali kubwa.
Itabidi nifanye hvyo mkuu. Shukran kwa ushaurPeleka Kwenye diagnosis mkuu
Hahahaaaaaaaa.......wanaharibu magar ya watu zen wanaishia kusema gari fulan injin yake mbovu sana haitengenezeki...kumbe wao ndo hawajui namna ya kuitibu, bongo bana[emoji23][emoji23][emoji23]Huu ndio ukweli mchungu. "Sometimes i wish i could be a fundi", ningetumia akili na si msuli.