Ninafuraha sana gari imepona

Peleka kwa wataalam hilo lutaisha tu. Vip walisha angalia mfumo wa starter maana hiyo kazi yake ni kuwasha gari na kutoka inabaki off.
 
Likiwa bovu ndio unauza mkuu? Ulitaka 'kumshikisha' mtu?
Kuna wengine ndio wanapenda vya bei chee kwakuwa wanajua wakatengeneze wapi na wapige vipi.
Kuna wengine hununua magari ambayo yamepata ajali unasemaje na hili.
By the way leo nina furaha sana. Yaani gari inafunguka kuliko hata nilivyoinunua aisee. Maana nilivyokuwa naibadilishia vitu kama oil, plugs, kusafisha filter ndio nikawa naitibu hivyo sasa baada ya kurekebisha hilo acha kabisa. Maana sasa hivi mlimani na overtake kama nateleza vile.
 
Pole na Hongera sana. Voltz ni gari ngumu sana, wanaiita roho ya paka. Ila kama vipi ongeza few years uitoe maana zina shidaa ya spare sana zikipata shida kubwa sana. Mf vifaa wakati gari imepata ajali kubwa.
 
Hapo ni kweli. Kwa vifaa vya nje ni shida sana.
 
Mkuu mbona hutaki kusema wapi ulifanya hiyo spot diagnosis ya gari lako?
 
Pole na Hongera sana. Voltz ni gari ngumu sana, wanaiita roho ya paka. Ila kama vipi ongeza few years uitoe maana zina shidaa ya spare sana zikipata shida kubwa sana. Mf vifaa wakati gari imepata ajali kubwa.
Nilinunua taa kubwa moja ya mbele kwa milioni moja na laki mbili nilichoka kabisa.
 
Huu ndio ukweli mchungu. "Sometimes i wish i could be a fundi", ningetumia akili na si msuli.
Hahahaaaaaaaa.......wanaharibu magar ya watu zen wanaishia kusema gari fulan injin yake mbovu sana haitengenezeki...kumbe wao ndo hawajui namna ya kuitibu, bongo bana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…