Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata vyema!Swala la mtoto sina mashaka mkuu...
Jiridhishe kwanzaMimi Sisyphus leo, nimeliona joto la jiwe ... mtu nilimuamini ameanza rasmi kuonyesha MAKUCHA yake ... ni miaka minne sasa niko na huyo mwanamke, ni muda mrefu sasa mwenzangu alikua anaomba ndoa mara nyingi sana..nimejaribu kumuelewesha asubiri tujipange kwanza (na najipanga kweli sio uhuni) .. maana tushamleta na mtu duniani, naona sasa muda wa uvimilivu wake umaenza kufika kikomo .... story inaanzia kati, leo ]
Wewe unaaminika?Shida sio kuoa ... ANAAMINIKA,?